HUU Ndio UTAMU WA MCHEZO WA SIASA

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
Kuchukua+chakula.JPG


Chadema+na+Idd+1..JPG
Chadema+na+Idd+3..JPG

 
Ni wakati wa mfungo huo walikua wanafuturu pamoja na wananchi .Mbona hata gazeti la mwananchi walizionyesha ?
 
inapendeza, haya sasa wale wanaotaka kupandikiza chuki waache nafikiri wameona.
 
Bila shaka haya ni maandalizi kabambe ya kuzipata kura za waislam,Ni ngumu nchi hii kushinda uchaguzi hasa wa urais bila kupata mseto wa kura za waislam na wakristo,nimelisema hili mara kadhaa kwamba chadema watoke maofisini waingie uswahili wajitakase mbele ya waislam ambao hawaitazami uzuri chadema,wanakiona kama sio chama chao pengine kutokana na propaganda za wapinzani wa chadema kisiasa
 
Back
Top Bottom