HUU NDIO URAFIKI WA KWELI!...muoneni x-pin na hommie wake kaizer enzi zao kule MKUU

Kikuku kinanukiaaaaaax2.....Yekeyeke kua yekeyeke (More kante).
Nani alishawahi kuvaa viatu vya omega (made in kenya)? Vilikua vya plastic ila kama vya ngozi veusi, tuliviita mwisho saa sita.
Hiyo kule kwetu ilikuwa hairuhusiwi kupigwa kama hamna uhakika wa mbege japo debe sita. Radio kaseti aina ya LASONIC ndio ilikuwa inautoa vizuri. Ili burudani inoge betri ya gari ndio ilikuwa chanzo cha eneji kwenye hii radio.
 
halafu inafuata:

HOLIDEEEEEI..... IFI YU TUKU HOLIDEI....... Titititititit AND YU STATI SELEBREIT
Nikusihiii, nikusihi soooojaaaaa!
hapa mwamba imebidi nipasue mbavu! halaf pembeni kuna intapreta keshakula bange zake anakuzuga anakwambia hapa madonna anazungumzia kuchukua "holidei bila malipo" heheheeh
 
Mkuu Maxcence na team nzima huvi ile Chart Room imeshaanzishwa? Masuala mengine kama haya yafanyike chart room.
 
Mkuu Maxcence na team nzima huvi ile Chart Room imeshaanzishwa? Masuala mengine kama haya yafanyike chart room.

Mbona Post zimejaa kibao kwenye hii Forum? we ukiona hazipandi Ipotezee tu....Acha sisi tuburudike!!
 
enzi zenu mazee........

MAMBO BADO JAMANII MAMBO BAAADDOOOOOOOOOOOO!..........
 
kafevareti batani sikaoni hommie ila kakirudi nta du the nidful.....
Chondechonde homuboi usisahau. Unajua nisipogongewa hako ka nidful batan japo mara kumi kwa siku huwa naanguka kaunta.
 
haya sasa xpin na kaizer hebu toeni maelezo hiyo picha na hiyo pozi ya dole nahisi lazima tu hapa mliiba na perfum ya maza mkajipulizia kabla yakupiga hii picha,hapa nahisi kuku wa mtaani wameshajeruhiwa kwa manati kabla ya kwenda kucheza tayari bado na kibaba na mama!

113_1517.JPG
 
enzi zenu mazee........

MAMBO BADO JAMANII MAMBO BAAADDOOOOOOOOOOOO!..........

magoma motomoto ya nairobary

mambo baaadooooooooooooo

Kaizer nina hamu na wewe,

Mambo badoooooooooooooooooooo
 
haya sasa xpin na kaizer hebu toeni maelezo hiyo picha na hiyo pozi ya dole nahisi lazima tu hapa mliiba na perfum ya maza mkajipulizia kabla yakupiga hii picha,hapa nahisi kuku wa mtaani wameshajeruhiwa kwa manati kabla ya kwenda kucheza tayari bado na kibaba na mama!

113_1517.JPG

HAPA NAMUONA IWA.....!hehehehe
 
Homuboi vipi tena?
Mbona tunataka kuingiliana kwenye maslahi yetu? BTW gesti gani ulikuwa leo?

Hommie nimeshtuka anataka kunywa Sipirini juu yangwa kwani nini? ndo namstua ivo siku hizi kujiua hailipi kabisa

(aluu gesti zimejaa hapa ngoja ni do ze nidiful nichape lapa haraka)
 
haya sasa xpin na kaizer hebu toeni maelezo hiyo picha na hiyo pozi ya dole nahisi lazima tu hapa mliiba na perfum ya maza mkajipulizia kabla yakupiga hii picha,hapa nahisi kuku wa mtaani wameshajeruhiwa kwa manati kabla ya kwenda kucheza tayari bado na kibaba na mama!
Enzi hizo ukipiga picha bila kuonyesha dole gumba picha ilikuwa haitoki. Dah! Maskini kipindi hicho tayari nlishacheza mchezo wa baba na mama. Hapo bikra kwisha habari yake.
 
mambo baaado jamaaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
MAMBO BAAAAAAAAAADOOOOOOOOOOOOOO
Chukua, chukua, mambo baadoooooooooooooooo
mambo badooooooooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom