mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,422
- 1,790
mkuu, hakuna mauji ya kijinga na ya kijanja, mauaji ni mauaji.
Pili, kama ni kukemea makosa, wote wanaokosea wakemewe na sio kubagua kwa kuangalia alietenda au alietendewa.
Tatu, mleta mada katoa hoja na kafafanua, ingekuwa busara kumjibu kwa hoja na ufafanuzi na sio porojo.
Aliyoongea hapo ni utumbo mtupu, nia yake ni kuleta mtafaruku Kanisani.
Elewa Mkristu mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na upumbavu kama huu. Tafuteni sehemu nyingine lakini siyo kulichanganya Kanisa.
Palipo na ukweli utasemwa tu, hatuendi Kanisani kutangaza Imani za kiitikadi bali kutangaza Dini. Alipomfananisha Nyerere na Mussa alikuwa na maana na siyo wewe unayesoma maandiko na kuyaelewa kama unasoma hadithi, kisha unaleta mada zisizo na miguu wala mikono.
KWENDENI ZENU HUKO VIBARAKA WAKUBWA NYIE!!!!!!
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!