Huu ndio uongo wa Padri Mapunda kwa CCM na mapenzi yake Chadema

Hakuna la maana uliloongea zaidi ya kauli zenu za uchochezi na udini zinazokuja kuwatokea puani punde! Mkiambiwa ukweli mwawapakazia wanaowakosoa kuwa wanasiasa... Shame on you! Umetetea sana suala la kupeana vyeo kiukoo kama mwendawazimu kwa kuwa limekugusa... jiwe limetupwa gizani na limekupata bara bara!

mkuu ungemjibu kwa hoja kukanusha aliyoyaandika,
porojo hazisaidii bali zinazidi kuthibitisha kilicho andikwa.
 
mi sidhani suala ni kutetea nini au nani, ametoa hoja na ushahidi, angejibiwa kwa hoja na ushahidi.

Peri, issue hapa ni hoja yeneyewe haiko focused inacho address hakiko wazi naona kama amejic hanganya na yuko hatred na dini ya ukristo, lakini pia kuna chadema, kuna akina kardinal pengo, kuna uislamu kwa maana ya viongozi waislamu na wakristo nk nk! nadhani anatakiwa kurudi kwenye somo moja zamani likiitwa re creative writing pengine ataeleweka.
 
SEBM, nadhani somo hilo ulilolitoa linatosha kwa mtu yeyote mwenye akili timamu. Huyu SECURITY GUARD (tazama hata jina lake) linalinda kundi fulani! Haingii akilini mtu kuanza kupingana na mtumishi wa Mungu bila kufaham background yake na uhusiano wake kijamii. Mtu akikemea ufisadi, ulafi, makundi aaaa basi nimpinga CCM! Acha fikra hizo!
 
Hakuna la maana uliloongea zaidi ya kauli zenu za uchochezi na udini zinazokuja kuwatokea puani punde! Mkiambiwa ukweli mwawapakazia wanaowakosoa kuwa wanasiasa... Shame on you! Umetetea sana suala la kupeana vyeo kiukoo kama mwendawazimu kwa kuwa limekugusa... jiwe limetupwa gizani na limekupata bara bara!

mkuu ungemjibu kwa hoja kukanusha aliyoyaandika,
porojo hazisaidii bali zinazidi kuthibitisha kilicho andikwa.
 
Nathubutu kusema kuwa, hata kama kuna uozo au nepotism kwenye vyama vya upinzani, basi wamerithi kutoka mfumo ovu wa CCM maana wao ndio baba na mama wa haya tuyaonayo leo.
 
Padri Mapunda, Mchungaji Peter Msigwa, Mchungaji Israel Y. Natse, Dr Slaa...wote kambi moja ya Chadema kazi kweli kweli naona list imekamilika.
 
SEBM, nadhani somo hilo ulilolitoa linatosha kwa mtu yeyote mwenye akili timamu. Huyu SECURITY GUARD (tazama hata jina lake) linalinda kundi fulani! Haingii akilini mtu kuanza kupingana na mtumishi wa Mungu bila kufaham background yake na uhusiano wake kijamii. Mtu akikemea ufisadi, ulafi, makundi aaaa basi nimpinga CCM! Acha fikra hizo!

hivi mtumishi wa Mungu hakosei au yeye ni malaika?
Nadhani mmekosa hoja za kujibu hii mada kwani ni ukweli mtupu.
Kungekuwa na hoja mngesha mjibu lakini mnamwaga povu tu.
 
Tanzania tumeshakuwa na marais Wakatoliki na waislamu safari hii piga ua lazima Lutheran au Anglikana T.A.G kabisa hatutaki kuminyana sisi.

Unakera,umekopi thread nzima,afu unaandika pumba,jitambue bwana unakera.
 
Udini utawatafuna hadi mifupa yenu. Mapovu yanawatoka, jasho la kwapa latiririka. Leo nawaona kwa rangi zenu mkimalizana juu ya maneno ya Padre kesho Sheikh na kila siku mtageuka upande kama vinyonga kwa makosa yaleyale ya kuchochea wananchi. Hili linchi limekwisha haribika na sidhani kama kuna chama au mtu atakayeweza kuiongoza...
 
Mtoa mada amepotea njia,ajipange kwa upya! Sumaye,Mzee butiku,Warioba walishawahi kusema maneno makali tu kwa CCM lakini sote tunajua wao si Chadema!
 
Huyo padre ndo wale wale wanaohubiria waumini viwango wa sadaka wanasotakiwa kutoa. Huyo itabidi CAG amfanyie auditing ili kujua utajiri wake manake analala anaota utajiri.

ndio kilichokufanya u -kopy thread nzima.watu wengine bwana.
 
hivi kwa akili yako unategemea padri mapunda atakuwa chama gani.
kama ambavyo shehe atakuwa. Hivi alishataja kuwa anapenda chama gani? Au mnafikiria kwa kuwa anayoyakemea yanafanana na yanayokemewa na padri?
 
Naona umeeleza kwa jazba na chuki ya hali ya juu kwa vile Padri Mapunda amewaumbua kwa kusema ukweli wote! Kwa hiyo mnataka kumng'oa kucha na meno???
 
Nimesoma mpaka mwisho wa hiyo post yako, sijaona kama amechochea kitu hapo , yuko sahihi kwa asilimia zote cha mhimu ni kwamba ukweli una maumivu yake. Kwa huu mtindo wa BMW (Baba Mama Watoto) unafikri utawazuia hata viongozi wa kiroho wasiseme ukweli?
 
Kama huridhiki na Kauli ya Padri Mapunda si uende mahakamani? Sasa unamtolea povu nani hapa???
 
Back
Top Bottom