Huu ndio unafiki wenyewe....

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
IMG_5848.JPG



IMG_5851.jpg


Spika Anne Makinda akitoa salamu za rambi rambi kwa Rais wa zanzibar Dr. Ally Mohamed Shein kufuatia ajali ya meli iliyotokea hivi majuzi.

Ikumbukwe ni spika huyu huyu aliyekataa kusitisha shughuli za Bunge siku ambayo ajali ilitokea.

Picha kwa hisani ya MICHUZI blog.
 
Huyu mama msaheheni tu na subira ya watanzania ichukue nafas amalize wakat wake, aondokee
 
Huyu mama anatakiwa kuwa na aibu at least kwa nafsi yake mwenyewe! NI mnafikuun aliyepitiliza na kama kawaida wa mabwepande hawezi kutambua hilo maana ndiyo njia yao ya kifo. Kuvaa hijabu huko ndio kejeli na kuonyesha wazi ubishi na kibri chake kilichovuka viwango. Nadhani huwa hawasikii hata washauri wake huyu.
 
yupo kama jini limetoroka kifungo huko ujinini,hawa viongozi wetu hawana tofauti na wachawi,kuna wakati nahisi kama ni yao yanatekeleza makafara,sijui nayaonaje.
 
Jamani nisaidieni. Hivi pamoja na kwamba sina tatizo lolote na uislamu. Hivi mkristo anapokwenda kuonana na kiongozi ati kavaa hijabu ndio nini hasa. Ningekuwa mimi anakuja kwangu ningemwambia akavae kama kawaida yake ndio aje. Kwangu mimi hii ni kejeri kwa waislamu
 
Back
Top Bottom