Huu ndio unafiki wa Ndesamburo na pesa zake

nilishtuka sana niliposikia mbunge wa moshi mjini mzee Ndesamburo almaharufu kama ndesapesa kamwaga milion 20 kuchangia chama chake cha CDM! KWANINI NILISHTUKA? mzee ndesamburo kupitia kampuni yake ya utalii amekuwa akiwatumikisha vijana wengi wa moshi mjini kupandisha watalii mlima kwa ujira mchache sana,wengi wao hawana mikataba ya kazi na hivyo kushundwa kwenda pa kudai maslahi, vibarua hao wamekuwa wakiranda randa katika hotel ya mzee huyo iitwayo KEYS HOTEL kufatilia ujira wao ambao umekuwa ukicheleshwa bila sababu ya msingi! sasa huyu babu anawezaje kumwaga mamilion kwa chama ilhali vijana wanaoumuingizia mamilion hayo wakiishi katika dimbwi la umaskini? HUU NI UNAFIKI
kama we ni masikini ni masikini tu, Utajiri wa babu haukuhusu nyau wewe
 
Mujwahuzia:
Mkuu kwa mawazo yako ulitegemea Mzee Ndesa Pesa awalipe vijana hao shilingi ngapi kusudi waweze kukidhi hata matakwa yako???? kwa maana wewe unawasemea wakati wao mdomo wanao pia hapa Duniani hakuna pesa inayotosha isipokuwa ile pesa ya kupunguza matatizo ya wanadamu ndio kwa maana Mzee Ndesa Pesa anakisaidia chama Democrasia na Maendeleo CDM kiweze kutwaa uongozi wa nchi kusudi vijana wa Kibongo tuache kutangatanga bila kazi ya kufanya kama ilivyo sasa ambapo karibu robo tatu ya watanzania ni Wamachinga ambao kazi yao ni kuzunguka mitaani wakiuza bidhaa mbalimbali ikiwa kama njia ya kuongeza kipato wakati huo viongozi wa TZ wakiwalaani lakini upande wa pili wakishukuru kimoyomoyo kwani vijana hawa hawaisumbi hata kidogo Serikali kuwapa ajira.
 
pesa ndogo sana, eti kwa kisingizio wanapata "TIP" toka kwa watalii, tunawasiliana na kiongozi wa kilimanjaro porters association tuweze kupata figure za ukweli

kwa hiyo figa ulizonazo sasa ni za uongo? Kweli wewe kiazi
 
Hamjanielewa,mimi binafsi nakubali sana mchango anaoutoa pale moshi, ila kilchonishtua ni mamilion ya pesa aliyochangia chama chake ilhali wale wapanda mlima wanalia njaa mitaani kwa ujira mdogo
 
nilishtuka sana niliposikia mbunge wa moshi mjini mzee Ndesamburo almaharufu kama ndesapesa kamwaga milion 20 kuchangia chama chake cha CDM! KWANINI NILISHTUKA? mzee ndesamburo kupitia kampuni yake ya utalii amekuwa akiwatumikisha vijana wengi wa moshi mjini kupandisha watalii mlima kwa ujira mchache sana,wengi wao hawana mikataba ya kazi na hivyo kushundwa kwenda pa kudai maslahi, vibarua hao wamekuwa wakiranda randa katika hotel ya mzee huyo iitwayo KEYS HOTEL kufatilia ujira wao ambao umekuwa ukicheleshwa bila sababu ya msingi! sasa huyu babu anawezaje kumwaga mamilion kwa chama ilhali vijana wanaoumuingizia mamilion hayo wakiishi katika dimbwi la umaskini? HUU NI UNAFIKI

Kama CDM ingefanikiwa kushika madaraka; nna wasiwasi huenda zingeibuka kashfa kubwa za ufisadi kuliko za CCM, maana viongozi wa CDM wako kimagumashi magumashi tu
 
empty skull. Umetumwa na wanaokupumulia kisogoni, waambie its too late.

Jamani kauli za hivi zinatolewa na Ma-great thinkers? Anyway nimekumbuka kauli ya mama yangu' matamshi ya mtu kwa kiasi kikubwa huonyesha undani wa mtu huyo.

Kukata tamaa, msongo mawazo, malezi mabovu nk. ndilo chimbuko la kauli za aina hii. Watu wengi tumefikia hatua ya kuamua kwa makusudi kuwa kama mtu fulani ni kiongozi au mwanachama wa chama tunachokitegemea hawezi kukosea.
 
nilishtuka sana niliposikia mbunge wa moshi mjini mzee Ndesamburo almaharufu kama ndesapesa kamwaga milion 20 kuchangia chama chake cha CDM! KWANINI NILISHTUKA? mzee ndesamburo kupitia kampuni yake ya utalii amekuwa akiwatumikisha vijana wengi wa moshi mjini kupandisha watalii mlima kwa ujira mchache sana,wengi wao hawana mikataba ya kazi na hivyo kushundwa kwenda pa kudai maslahi, vibarua hao wamekuwa wakiranda randa katika hotel ya mzee huyo iitwayo KEYS HOTEL kufatilia ujira wao ambao umekuwa ukicheleshwa bila sababu ya msingi! sasa huyu babu anawezaje kumwaga mamilion kwa chama ilhali vijana wanaoumuingizia mamilion hayo wakiishi katika dimbwi la umaskini? HUU NI UNAFIKI

wakati muafaka ukamuulize MUNGU kwa nini ulikimbia shule ukaishia kuvuta bangi ukiamini bangi itakufikisha kilele cha mlima kilimanjaro kumbe kuna waliofika kabla yako nw wanakutesa
pole dear
 
Hamjanielewa,mimi binafsi nakubali sana mchango anaoutoa pale moshi, ila kilchonishtua ni mamilion ya pesa aliyochangia chama chake ilhali wale wapanda mlima wanalia njaa mitaani kwa ujira mdogo
umeshtuka! umeshtuka! Ulivyoshtuka ulizimia au ulikufa?
 
Hamjanielewa,mimi binafsi nakubali sana mchango anaoutoa pale moshi, ila kilchonishtua ni mamilion ya pesa aliyochangia chama chake ilhali wale wapanda mlima wanalia njaa mitaani kwa ujira mdogo
hiyo milioni 20 kwake ni hela ndogo sana wala iskushtue ukaja kufa bure na wala haimaanishi kwa kuwa yeye ni tajiri basi awalipe wafanyakazi milioni kwa kazi ya uhalali wa kulipwa laki. fanya kazi kwa bidii hakuna mtu wa kukujaza mapesa
 
wakati muafaka ukamuulize MUNGU kwa nini ulikimbia shule ukaishia kuvuta bangi ukiamini bangi itakufikisha kilele cha mlima kilimanjaro kumbe kuna waliofika kabla yako nw wanakutesa pole dear
hawa ni wale wanaopanda mlima wakishashuka wakilipwa wanahamia bar wanakunywa anzia asubuh wanatoka nje kuangalia mlima Kilimanjaro wakiuona wanarudi bar kwa mbwembwe wakisema mlima haujaama kesho tutapanda wanaagiza bia+nyama+ changudoa, HUYU WAMEMMALIZA HANA NGUVU ZA KUPANDA MLIMA TENA AMEONA ALIE NA NDESA
 
pesa ndogo sana, eti kwa kisingizio wanapata "TIP" toka kwa watalii, tunawasiliana na kiongozi wa kilimanjaro porters association tuweze kupata figure za ukweli

Kashaga, Ulipaswa kuwasiliana si tu kiongozi wa Kilimanjaro porters bali na wafanyakazi wenyewe wakupe Facts and figures za mishahara yao kabla hujamwaga TUHUMA zako humu jamvini. kwa maana nyingine unaonekana mzushi, mfitini na mdaku. Tuhuma zako hazina mashiko!
 
Hii mimi huwa naipa jii kitu!!!..........

****.jpg
 
hawa ni wale wanaopanda mlima wakishashuka wakilipwa wanahamia bar wanakunywa anzia asubuh wanatoka nje kuangalia mlima Kilimanjaro wakiuona wanarudi bar kwa mbwembwe wakisema mlima haujaama kesho tutapanda wanaagiza bia+nyama+ changudoa, HUYU WAMEMMALIZA HANA NGUVU ZA KUPANDA MLIMA TENA AMEONA ALIE NA NDESA

Umenifanya nicheke maana hii kitu nimewahi iona live pale Pub Lucent Marangu. Jamaa wanapiga round za bia kisha wanaenda kuucheki mlima wanasema bado upo kesho nitapanda tena nipate hela.
 
nilishtuka sana niliposikia mbunge wa moshi mjini mzee Ndesamburo almaharufu kama ndesapesa kamwaga milion 20 kuchangia chama chake cha CDM! KWANINI NILISHTUKA? mzee ndesamburo kupitia kampuni yake ya utalii amekuwa akiwatumikisha vijana wengi wa moshi mjini kupandisha watalii mlima kwa ujira mchache sana,wengi wao hawana mikataba ya kazi na hivyo kushundwa kwenda pa kudai maslahi, vibarua hao wamekuwa wakiranda randa katika hotel ya mzee huyo iitwayo KEYS HOTEL kufatilia ujira wao ambao umekuwa ukicheleshwa bila sababu ya msingi! sasa huyu babu anawezaje kumwaga mamilion kwa chama ilhali vijana wanaoumuingizia mamilion hayo wakiishi katika dimbwi la umaskini? HUU NI UNAFIKI

Jaribu tena baadaye
 
hawa ni wale wanaopanda mlima wakishashuka wakilipwa wanahamia bar wanakunywa anzia asubuh wanatoka nje kuangalia mlima Kilimanjaro wakiuona wanarudi bar kwa mbwembwe wakisema mlima haujaama kesho tutapanda wanaagiza bia+nyama+ changudoa, HUYU WAMEMMALIZA HANA NGUVU ZA KUPANDA MLIMA TENA AMEONA ALIE NA NDESA

teh teh teh. Angel umemaliza.
 
hiyo milioni 20 kwake ni hela ndogo sana wala iskushtue ukaja kufa bure na wala haimaanishi kwa kuwa yeye ni tajiri basi awalipe wafanyakazi milioni kwa kazi ya uhalali wa kulipwa laki. fanya kazi kwa bidii hakuna mtu wa kukujaza mapesa

Yani ameitolea macho milion 20 utadhan yake.
Si bora hata Ndesa ameichangia CDM pesa ambayo itasaidia kujenga chama cha wananchi kuliko yule alyenyonya maziwa kule moro akalambwa kila kitu na mtoto wa mamdogo..
 
Jamani kauli za hivi zinatolewa na Ma-great thinkers? Anyway nimekumbuka kauli ya mama yangu' matamshi ya mtu kwa kiasi kikubwa huonyesha undani wa mtu huyo.

Kukata tamaa, msongo mawazo, malezi mabovu nk. ndilo chimbuko la kauli za aina hii. Watu wengi tumefikia hatua ya kuamua kwa makusudi kuwa kama mtu fulani ni kiongozi au mwanachama wa chama tunachokitegemea hawezi kukosea.

Kama italetwa thread yenye facts & evidences itachangiwa kwa kina na mapana.. tena kwa kutumia busara na hekima.. But kama ikiletwa thread ambayo hata kwenye kijiko cha chai haijai.. Imekaa kimajungumajungu itachanwa live bila ya chenga.. We dnt entertain majungu hapa.. Hii ni moja kati ya uzi wenye majungu ndani yake.. So anachanwa live ili asirudie kuleta jungus hapa..
 
Yani ameitolea macho milion 20 utadhan yake. Si bora hata Ndesa ameichangia CDM pesa ambayo itasaidia kujenga chama cha wananchi kuliko yule alyenyonya maziwa kule moro akalambwa kila kitu na mtoto wa mamdogo..
kwani hawa magamba wanaalili ya kutambua hilo?
 
Hamjanielewa,mimi binafsi nakubali sana mchango anaoutoa pale moshi, ila kilchonishtua ni mamilion ya pesa aliyochangia chama chake ilhali wale wapanda mlima wanalia njaa mitaani kwa ujira mdogo

we kashanga ni kilaza sana,hivi unajua utalii unaendeshwaje? Hv unafikiri system ya uendeshaji utalii ni sawa na unavyoendesha ofisi ya kawaida? Hv unaujua utaratibu wa kupandisha watalii milimani? Hivi unajua safari na mapatano huanzia wapi na kati ya nani na nani? Unajua bulk distibution ya utalii au umekurubuka? Kajipange upya usifikiri mtalii anafika bongo tu na kuanza kuzunguka bila kuwa na maandalizi toka awali yanayofanya na makampuni makubwa kama keys hotel, ambao mwisho wa siku wanatoa tenda kwa watu wengine. Inshort kipindi cha high season utakuta mtu ana watalii wengi kiasi kwamba hata gari za kuwapeleka pori hamna zote zimejaa,na ndipo watu hulazimika kutafuta tours ndogondogo kupiga tafu ili mtu asije kupoteza wateja. Kipindi kama hicho ukiwa na gari kama landcruser,au landrover ni dili sna,unapatana na mtu mwenye watalii unaigonga stiker ya kampuni husika for temporary unapiga kazi. Na kukodi gari per day ni kuanzia dola 300 hadi 500 per day,garama zinginezo zoote,zinakuwa kwa aliyekodi gari. Na katika kupandisha watalii hakuna parmanent ajira kwa sababu ni seasonal activity.
 
Back
Top Bottom