Huu ndio unafiki wa Ndesamburo na pesa zake

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
306
nilishtuka sana niliposikia mbunge wa moshi mjini mzee Ndesamburo almaharufu kama ndesapesa kamwaga milion 20 kuchangia chama chake cha CDM! KWANINI NILISHTUKA? mzee ndesamburo kupitia kampuni yake ya utalii amekuwa akiwatumikisha vijana wengi wa moshi mjini kupandisha watalii mlima kwa ujira mchache sana,wengi wao hawana mikataba ya kazi na hivyo kushundwa kwenda pa kudai maslahi, vibarua hao wamekuwa wakiranda randa katika hotel ya mzee huyo iitwayo KEYS HOTEL kufatilia ujira wao ambao umekuwa ukicheleshwa bila sababu ya msingi! sasa huyu babu anawezaje kumwaga mamilion kwa chama ilhali vijana wanaoumuingizia mamilion hayo wakiishi katika dimbwi la umaskini? HUU NI UNAFIKI
 
Yeye kama CEO yawezekana hajui matatizo hayo!!Matatizo yapo katika Management ya chini!!siyo wakulaumiwa yeye!
 
nilishtuka sana niliposikia mbunge wa moshi mjini mzee Ndesamburo almaharufu kama ndesapesa kamwaga milion 20 kuchangia chama chake cha CDM! KWANINI NILISHTUKA? mzee ndesamburo kupitia kampuni yake ya utalii amekuwa akiwatumikisha vijana wengi wa moshi mjini kupandisha watalii mlima kwa ujira mchache sana,wengi wao hawana mikataba ya kazi na hivyo kushundwa kwenda pa kudai maslahi, vibarua hao wamekuwa wakiranda randa katika hotel ya mzee huyo iitwayo KEYS HOTEL kufatilia ujira wao ambao umekuwa ukicheleshwa bila sababu ya msingi! sasa huyu babu anawezaje kumwaga mamilion kwa chama ilhali vijana wanaoumuingizia mamilion hayo wakiishi katika dimbwi la umaskini? HUU NI UNAFIKI
Madai yako ni general mno, jaribu kuwa SMART!
Taja at least tukio mojawapo kama unamaanisha, na kama una uhakika!
Vinginevyo hizi ni chuki binafsi na wivu wa kike!
 
nilishtuka sana niliposikia mbunge wa moshi mjini mzee Ndesamburo almaharufu kama ndesapesa kamwaga milion 20 kuchangia chama chake cha CDM! KWANINI NILISHTUKA? mzee ndesamburo kupitia kampuni yake ya utalii amekuwa akiwatumikisha vijana wengi wa moshi mjini kupandisha watalii mlima kwa ujira mchache sana,wengi wao hawana mikataba ya kazi na hivyo kushundwa kwenda pa kudai maslahi, vibarua hao wamekuwa wakiranda randa katika hotel ya mzee huyo iitwayo KEYS HOTEL kufatilia ujira wao

Unafiki utakuua wewe hivi unadhani kupandisha watalii kili ni sawa na kubeba mizigo bandarini? Kajipange upya huna lolote wewe sikuzote hao vijana hawakukwambia ulalamike hadi leo?
 
Wanalipwa shilingi ngapi unaououta ujira mdogo?

pesa ndogo sana, eti kwa kisingizio wanapata "TIP" toka kwa watalii, tunawasiliana na kiongozi wa kilimanjaro porters association tuweze kupata figure za ukweli
 
nilishtuka sana niliposikia mbunge wa moshi mjini mzee Ndesamburo almaharufu kama ndesapesa kamwaga milion 20 kuchangia chama chake cha CDM! KWANINI NILISHTUKA? mzee ndesamburo kupitia kampuni yake ya utalii amekuwa akiwatumikisha vijana wengi wa moshi mjini kupandisha watalii mlima kwa ujira mchache sana,wengi wao hawana mikataba ya kazi na hivyo kushundwa kwenda pa kudai maslahi, vibarua hao wamekuwa wakiranda randa katika hotel ya mzee huyo iitwayo KEYS HOTEL kufatilia ujira wao ambao umekuwa ukicheleshwa bila sababu ya msingi! sasa huyu babu anawezaje kumwaga mamilion kwa chama ilhali vijana wanaoumuingizia mamilion hayo wakiishi katika dimbwi la umaskini? HUU NI UNAFIKI

Kabla sijachangia huu uzi ebu nijibu maswali yangu!

1.Kwan Ndesapesa ndio ofisa muajiri na meneja wa keys hotel?

2.Hizo mil20 zimetokana na mapato ya keys hotel?
 
Wewe ni mmoja wa hao vijana? Je,wewe ndio msemaji wao? Na Je,wanalipwa shilingi ngapi? na Je,unajua kuwa kuna aina nyingi za mikata ya kazi? kuna ya muda mfupi,mikataba na ya kudumu? Je,una taarifa hao vijana wapo kwenye group gani kati ya hayo hapo juu? Nawashangaa sana watanzania,yani akiibuka mtu anayetaka kuwakomboa toka kwenye mkoloni mweusi CCM ndio mnaanza kumpiga vita.Nadhani watanzania wana pepo si kawaida.
 
@Kashaga, naona umeharakisha sana kuweka madai yako hapa JF. Fuatilia tena kwa karibu na utagundua kuwa wengi wa vijana wanaopanda mlima na watalii wanatoka kwenye kampuni ndogo ndogo. Na hizo kampuni zinapata wateja toka kwa Mzee Ndesamburo ambaye huleta watalii kupitia kampuni yake. Hivyo yeye sio direct employer kwa kila kijana anayepanda mlima na watalii. Kwa maneno mengine, uwekezaji (wa ndani) unaofanywa na Mzee Ndesamburo una-stimulate uchumi wa Moshi kwani watu wengine wameweza kuanzisha kampuni ndogo ndogo wakitegemea tender toka kampuni kubwa ya mzee Ndesamburio. Na amefanya hili kwa mafanikio makubwa.

Pia nataka nikuhakikishie, kama sio mizingwe ya ccm inayosimamiwa na Bi Kinabo, Swai na wengine Mzee Ndesamburo angekuwa amefanya mengi zaidi ya hayo aliyofanya. Mara nyingi amekuwa ANAZUIWA kuendeleza maeneo yanayowagusa wananchi wa kawaida moja kwa moja kwa sababu tu yuko CHADEMA! Mfano ni soko la Kiboroloni. Bila aibu serikali ya ccm walisema lile eneo ni la viwanda! Viwanda gani kiboroloni wakati ccm hao hao wameuwa machine tools, kiwanda cha magunia, kiwanda cha ngozi?

Yapo mengi lakini nadhani summary hii inatosha kwa sasa.
 
Kabla sijachangia huu uzi ebu nijibu maswali yangu!

1.Kwan Ndesapesa ndio ofisa muajiri na meneja wa keys hotel?

2.Hizo mil20 zimetokana na mapato ya keys hotel?

kama unakuwa na unamiliki kampuni then hujui unawafanyakazi wangapi, hujui wanalipwaje? then wewe utakuwa punguani
 
we ni mmbea na mnafiki mkubwa, haya madai uloleta hapa ni ya uongo na lengo lako ni kumchafulia babu, ulichotaka kusema hapa ni kuwa ndesa anaminya posho za vijana na kuzitoa chadema jambo ambalo si kweli kwani mzee anamahoteli mengi hadi nje ya nchi na anatoa misaada kwa wakazi wengi wa Moshi.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
nilishtuka sana niliposikia mbunge wa moshi mjini mzee Ndesamburo almaharufu kama ndesapesa kamwaga milion 20 kuchangia chama chake cha CDM! KWANINI NILISHTUKA? mzee ndesamburo kupitia kampuni yake ya utalii amekuwa akiwatumikisha vijana wengi wa moshi mjini kupandisha watalii mlima kwa ujira mchache sana,wengi wao hawana mikataba ya kazi na hivyo kushundwa kwenda pa kudai maslahi, vibarua hao wamekuwa wakiranda randa katika hotel ya mzee huyo iitwayo KEYS HOTEL kufatilia ujira wao ambao umekuwa ukicheleshwa bila sababu ya msingi! sasa huyu babu anawezaje kumwaga mamilion kwa chama ilhali vijana wanaoumuingizia mamilion hayo wakiishi katika dimbwi la umaskini? HUU NI UNAFIKI
Wewe ndiyo mnafiki
1. tuwekee anawalipa kiasi gani na makampuni mengine kama Zara wana walipa kiasi gani
2. hivi unapo changia ni kwamba huna matatizo mbona mengi naweza kusubutu kusema ndiyo matanzania anaeongoza kutoa misaada hapa tanzania je ni kwamba wafanya kazi wake hawana shida, je ni kwamba wafanyakazi wa IPP wanalipwa vizuri sana...
 
kama unakuwa na unamiliki kampuni then hujui unawafanyakazi wangapi, hujui wanalipwaje? then wewe utakuwa punguani
Acha uongo,... Mzee Ndesa anawasaidia sana vijana wa moshi hakuna asiyelijua hilo. Wewe utakuwa unasumbuliwa na wivu au umetumwa!
 
nilishtuka sana niliposikia mbunge wa moshi mjini mzee Ndesamburo almaharufu kama ndesapesa kamwaga milion 20 kuchangia chama chake cha CDM! KWANINI NILISHTUKA? mzee ndesamburo kupitia kampuni yake ya utalii amekuwa akiwatumikisha vijana wengi wa moshi mjini kupandisha watalii mlima kwa ujira mchache sana,wengi wao hawana mikataba ya kazi na hivyo kushundwa kwenda pa kudai maslahi, vibarua hao wamekuwa wakiranda randa katika hotel ya mzee huyo iitwayo KEYS HOTEL kufatilia ujira wao ambao umekuwa ukicheleshwa bila sababu ya msingi! sasa huyu babu anawezaje kumwaga mamilion kwa chama ilhali vijana wanaoumuingizia mamilion hayo wakiishi katika dimbwi la umaskini? HUU NI UNAFIKI
Are you Kashaga who was formerly at Eget? If yes, I want to contact you.
 
nilishtuka sana niliposikia mbunge wa moshi mjini mzee ndesamburo almaharufu kama ndesapesa kamwaga milion 20 kuchangia chama chake cha cdm! Kwanini nilishtuka? Mzee ndesamburo kupitia kampuni yake ya utalii amekuwa akiwatumikisha vijana wengi wa moshi mjini kupandisha watalii mlima kwa ujira mchache sana,wengi wao hawana mikataba ya kazi na hivyo kushundwa kwenda pa kudai maslahi, vibarua hao wamekuwa wakiranda randa katika hotel ya mzee huyo iitwayo keys hotel kufatilia ujira wao ambao umekuwa ukicheleshwa bila sababu ya msingi! Sasa huyu babu anawezaje kumwaga mamilion kwa chama ilhali vijana wanaoumuingizia mamilion hayo wakiishi katika dimbwi la umaskini? Huu ni unafiki

afanye nini kwa serikali zembe isiyofuatilia maslahi ya wananchi wake??
Eeti nao wanawizara ya ajira duuu!
Magamba mnaweza kutembea na smg tuu na uzinzi!
 
kashaga ni baadhi ya wana CCM ambo hata Mzee Mengi anapotoa misaada ya kijamii ukimbilia kuuliza kwa nini hizio hela asingewapa wafanyakazi wa ITV/Radio one nk...... sasa hayo ni mawozo ya kijinga sana. Unaposaidi chama au kikundi hata kama ni shiling 10, empact yake ni kukwa sana kuliko kutoa shiling 20 kwa mtu moja.... tafuta wachumi wakueleweze
 
Back
Top Bottom