Huu ndio ukweli toka kwa member Lukolo

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Nakubaliana kabisa na maneno ya member wa JF Lukolo yasemayo:

Hakuna nchi rahisi kuongoza kama Tanzania. Hata mtoto wa darasa la tatu anaweza kuiongoza, ilimradi awe na jeshi tu.
 
una maana gani? elezea vizuri mkuu, wekea nyama habari yako.
 
Back
Top Bottom