Huu ndio uhuni uliotokea Arusha

watu hawa hawana amani na uongozi wao. Guilty conscious inawatafuna. The only consolation waliyo nayo ni ubabe na virungu. Mioyo yao inawashtaki.

nahisi kujilipua manake hii ccm wanatufanya sie mabwege sana naamini zengwe litakaloibuka hapa tz halijawahi kutokea nchi yoyote hata iraq haitaona ndani huu ni udhalimu na ina uuuuuuuuuuuuuuuma sana. Big sam mwingimba unatisha ila ukweli huu unatufikia wachache sana itoe kwenye makala tanzania daima, mwanahalisi na raia mwema.
 
Inasikitisha Inaumiza, Inauma saaannnaa.......Swali Moja tuu ambalo wengi hatujiulizi.....mnafikiria kule ambako hakuna kitu kinaitwa amani sababu yake ni nini.....huu ukondoo unamwisho wake ...na kwa mwendo huu mwisho wa haya unakuja.......:angry:
 
Watanzani.a wenye mapenzi na nchi yao ni kama Mwigamba. Naomba uitoe makala hii kwenye magazeti ili watz wote wajue. CCM ni wanyama wakiongozwa na JK..anafuhi sana TZ inavyokwenda kombo kwa ajili yake. Hana tofauti na MUGABE,GBAGBO. Na hata zaidi ya Idd Amini Dadaa. Huyu ni dicteta kabisa kwa anayoyafanya. Ila mwisho wake unafika hata kabla ya 2015 amini nawaambia.
 
Jakaya Mrisho Gbabgo Kikwete...... kweli TZ ina maraisi wawili mmoja ikulu mwingine mioyoni mwa watz. Kwa nini uongoze watu wasiokutaka?? Kweli CCM watakuwa wana lao jambo.
 
Back
Top Bottom