Huu muonekano wa manesi duh............

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,090
Nilikuwa hospitali ya mkoa leo na nikaona kitu kikanikumbusha nilichowahi kuwaza siku moja mbona hawa manesi wa hospitali za serikali hasa wa huku mikoani hawana mvuto hivi! Hivi hawa mabinti wa siku hizi si wanaweza kuwa discouraged na muonekano wao na wasipende kazi hiyo?
 
Yaani tabu sio utendaji ila dah hawavutii kabisa
 
utajuta kutahiri ukubwani unakuta umeenda kutoa nyuzi au kusafisha na unakutana na kanesi hako na kamevaa kanguo kanaonyesha michiriz ya pajani au ka kasuruali basi nyungu ipo imejichora.
 
utajuta kutahiri ukubwani unakuta umeenda kutoa nyuzi au kusafisha na unakutana na kanesi hako na kamevaa kanguo kanaonyesha michiriz ya pajani au ka kasuruali basi nyungu ipo imejichora.
How old are you?
 
walikataa kumtoa nani hii.
Sitaki kujua ni nini lakini out of curiosity, walikataa kumtoa nini?
Halafu unafikiri wagonjwa hawana kitu, unajua ukiwa desperate unakuwa tayari kwa lolote eeh ndo kama mgonjwa wako yuko mahituti utahonga bila kuombwa
 
Shangaaa! .
Hivi ,
mwambie mtu aingie hotelini alafu aagize ,
"Nipe wali na WITO"
Kama wito unaliwa!
Mh does this mean ndio maana wale wanaokwenda huko ni wale ambao kiukweli wamekosa any other alternative?
 
Nashaanga!! ......kwani wanaenda kuhudumia wagonjwa au kugombania umiss.
MP.
We hujui kama wagonjwa wanaweza kupona kwa vitu vingi zaidi ya dawa wanayokunywa ama kuchomwa?
 
Back
Top Bottom