Huu mkutano wa Mwanza haukuonekana na Media?!

nice 2

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
747
520
Licha ya juhudi za wazi za baadhi ya vyombo vya habari kama Mwanahalisi kumchafua Zitto, wananchi wanasema wanamuamini. Angalia nyomi la Mwanza Zitto peke yake alivyofunika kwenye uzinduzi wa campaign za udiwani!

Zitto na Slaa ndio viongozi pekee wa CHADEMA wenye kuweza kufanya mikutano peke yao bila "package" ya timu nzima ya juu na kupata umati wa watu. Hivi karibuni tumemuona Zitto Tanga, na sasa hii ni Mwanza.

Zitto na Slaa ndio dream team CHADEMA, wanaowagombamisha waache. CHADEMA is stronger with Zitto na Slaa.

Jionee video za mkutano wa Mwanza

Last edited by a moderator:

Mkuu wangu,thread yako haipunguzi gap ndani ya chama bali inaongeza gap! Hebu jiulize mkuu umejenga umebomoa?
 
Last edited by a moderator:
Tusipotoshe, CHADEMA si ya watu wawili. Kama ni hivyo, tutawatisha wanaofikiria kujiunga na chama hicho. Chama imara hutokana na nguvu za wanachama wote; naamini na CHADEMA iko hivyo.
 
Back
Top Bottom