Huu mjadala wa DC na DED unaniboa

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Tangu mjadala huu umeanza naona watu wote wameng'ang'ania habari ya DED na DC lakini napata tabu kidogo, wakati amendments zilizoletwa zinataka kuondolewa kwa DC na kuwekwa DED, wabunge wote wa CCM wanagoma. Hilo sio tatizo kwangu ila tabu ni pale wabunge hao wanapokosa sababu za kwanini wanamtaka DC na sio DED zaidi ya kusema ndiye mwenye polisi, khaaa kwani watu wanaenda kupiga kwata huko?
 
Kwenye muundo wa sasa virtually ma-DC wanafanya kazi ya kusimamia maslah ya CCm wakati DED akifanya kazi ya kutekeleza majukumu ya serikali kitaalam zaidi, hivyo mara nyingi wabunge hu-side na DC ili kuona kuwa political interests zinatimizwa kwanza
 
Back
Top Bottom