Huu mgao wa umeme kanda ya kaskazini utaisha lini????

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
WanaJF!! Hapa Arusha, Tangu saa 8:30am ya asubuhi ha2kuwa na umeme line hii ya Sakina mpaka saa 6:55pm ndiyo unarudishwa. Sasa mi najiuliza shida ni nini hashwa? Mwenye chanzo anijuze wajamen! Excuse for that!!
 
Kwa nini mnaendelea kukaa kwenye ukanda wenye shida hamieni ukanda wa kusini mikoa ya Lindi na Mtwara kuna umeme wa uhakika wa gesi haukatiki hata siku moja.
 
Jamani!! Kwa hali hii ya mpaka ilipwe Dowans ndiyo mgao uishe hakika ni mateso ya kimya kimya! Ila hili litabidi tuangalieni upya wajamen. Mmmm!!
 
Back
Top Bottom