Huu mchezo bhana! Teh

Roxea

Senior Member
May 18, 2012
182
48
Watu wawili walikua wakicheza karata porini(last card),Mara wakapita wakulima, wakasikia sauti ikisema, "weka jembe chini" wakayaweka majembe yao chini mara tena "weka kisu" wakaweka visu chini "Toa kopa" wakaangaliana hawana kopa...... "weka mavi chini" ikabidi mmoja kati ya wakulima hao akunye palepale. Kidogo wakasikia "kama huna mavi zamu yako kulamba" ikabidi yule hajakunya alambe ya mwenzake Mara wakasikia
"GAME OVER" Wakastuka kumbe kuna watu walikua wanacheza karata,sa ndo ikakua ivo bhana huu mchezo.............
 
kunajamaa mmoja alianza kumshitukia shemeji yake basi akaga kuwa anakwenda safari basi mke akaanza kucheza karata na shemeji yake ndani huku jamaa akiwa dirishani akisikiliza mambo yakawa hivi
Jamaa; shemeji lamba
Dada; nalamba shem
Jamaa; lamba tena shemeji
Dada ; nalamba jamani
jamaa; toa love(matani akimaanisha kopa)
Dada; natoa yoteshemeji
jamaa akajua tayari fumanizi alipoingia akakuta wanacheza karata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom