Hutaki Unaacha umetuacha kwenye mataa?

Bhbm

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
714
208
Jamani ile ahadi ya bwana HU kuwa atarudi na ule mwendelezo wa kumuonya JK juu ya mtandao fulani hatari ndani ya chama vipi mbona kimya? Alisema kuwa angerudi na 3rd part ya hiyo story lakini mpaka leo kimya ilihali ile ya 2nd part haikuchukua muda mrefu toka ile 1st part ilivyoanza. Mkuu chakula kikipoa hakinogi mkuu..
 
Nadhani kaona mawazo ya wengi yako kwenye msiba wa mpambanaji na kipenzi chetu RM. Vinginevyo mngekosa Concentration. Hayo ni mawazo yangu kutokana na utaalamu wangu juu ya timing of information release, siyo lazima yafanane na yake.
 
Tumsubiri , nadhani atatuletea muda si mrefu atakuwa anaikamilisha taarifa yake.
 
Atakuwa amewekwa kizuizini kwa mahojiano zaidi!maana jamaa anafahamu mpaka chumba anacholala mkuu wa nchi.
 
ukisikia mgonjwa yeyeto imeshindikana kutiwa hapa nchi na anapelekwa india kwa matibabu basi jua huyo ni HU
 
Mkuu mie part II sikuiona,na nilliisubiri sana,aliunganisha mule mule au alianzishia upya,was real interesting bana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom