Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
Mchagga alinunua mbuzi! Akamwambia mpishi; Nyama nusu ipikie pilau na
nyingine itie kwenye friza! Kichwa fanya supu na miguu fanya mchuzi
chukuchuku! Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na
mifupa tutawauzia wenye mbwa! Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani
Mpishi akamuuliza : Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye
simu yako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom