Hussein Machozi afumaniwa na mke wa mtu

autorun255

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
1,105
363
Baada ya kuwa kimya muda mrefuu bila kusikika kwenye vyombo vya habari, hakika kimya kingi kina mshindo mkubwa,

Hussein machozi Akiwa mombasa kwa ajili ya kushoot video yake msanii hussein machozi afumaniwa na mke wa mfanyabiashara huko kenya mombasa na kuambulia kichapoooo cha nguvu kutoka kwa walinzi wa mume wa mwanamke aliefumaniwa naye.

Kwa sasa yupo hospitali akiiuguza majeraha.




Chanzo; Standard Media
 
Duh kwa nn wasingempiga shoka kama yule wa mwanza?

Kw kichapo alichoshushiwa kitakuwa kimetosha.

Ila mombasa naskia kwa kula 0713
Tusubiri tutayaskia tu kama wamemfanyia zaidi ya kichapo.
 
Wangemcastrate pumbu zake kabisa wakawapa mbwa wazifanye kitoweo ..nyambafu mkubwa.
 
Back
Top Bottom