Hussein Macheni Yuko Wapi Siku Hizi?

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Wakuu naomba kuuliza huyu jamaa yuko wapi?
HM.jpg
 
Sasa unamuulizia Hussein wa nini? Au na wewe taste zako ni wanaume? ungemuulizia Ashura ningekuelewa zaidi
 
Kwa nini muna discuss watu humu? Hayo mambo yake anayofanya huko nje hayana umuhimu kitaifa wala hayatusaidii kuondoa umaskini.

Wacheni umbeya na kushabikia mambo yasiyowahusu.
 
yupo sana siku hizi anauza bia pale sebuleni kwake migo migo,na saa nyingine kwa mkewe ashura kino
mataka alijiweka sana hapo
 
Yaani dada Flora huyo kaolewa mitaala na General Defao Wa DRC. kazi kweli kweli, Real Man hawezi kujichubua vile na kusheheni minyororo. Ashura ni Wa show off tu lakini pale anapojitaji shughuli humuaga Macheni na kwenda kupata msuguo Wa kikweli kwa mkali wake. Wala Hilo halina mjadala
 
nyambaf zake jitu zima linafanya upupu
shame on him

Yaani dada Flora huyo kaolewa mitaala na General Defao Wa DRC. kazi kweli kweli, Real Man hawezi kujichubua vile na kusheheni minyororo. Ashura ni Wa show off tu lakini pale anapojitaji shughuli humuaga Macheni na kwenda kupata msuguo Wa kikweli kwa mkali wake. Wala Hilo halina mjadala
 
nyie hussein hana michezo hiyo sema usmart wake ndio unampoza,jamaa anajipenda sana toka enzi hizo,mimi nimekaa nae beach sana pande za Athens,yeye na slim a.k.a.checkbob maarifa ni watu wa kujipenda toka enzi zile kule na waliwala sana watoto wa kizungu kutoka na utashati wao,hizi maisssue za uchoko sio kweli.
 
kwa usmart jamaa namkubali sana tena sana ila kujaribu kumsafisha kama haliwi ndugu yangu hapo sijui utumie neno gani ueleweke kwani hamna wasiyejua kama jamaa analiwa!!!!siyo shoga ila analiwa na kula sana watoto wa kike haibadilishi uliwaji wake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom