Hussein Bashe: Wabunge wa CCM acheni kupinga kila jambo!

Hivi sakata lake la uraia limefikia wapi? Wasije wakaliibua tena kwa kauli zake hizi!
 
CCM wapo madarakani kwa ajili ya pesa na sio kitu chochote cha muhimu,zaidi wenyewe ni kukubali hoja tu kwisha,hawafikirii kama itawasaidia wananchi au vipi.
 
Hizo posho.........kuna watu wanaachia mshahara wa TShs. 1,500,000 wanakwenda kupata TShs. 800,000 Serikalini sasa zikifutwa....nachelea kusema sekta binafsi itashamiri kwani itakuwa ngumu sana serikali kukaa na wataalam (professionals).
 
Vyema umesema lakini watakuelewa kweli ? Ukweli wako unakunyima nafasi zaidi ndani ya Chama chenu maana ukweli huko ni sumu
 
Ujumbe mzuri lakini Wasi Wasi wangu sijui kama ujumbe kama huu angeutoa kama yeye angekuwa ni mbunge wa CCM au kama In da house baba mwenye nyumba angekuwa ni lowasa.

Bashe ili usiutsaliti "uzalendo" wako unaounyesha sasa ukiwa sebuleni nenda upinzani . Utakuwa huru zaidi.
 
Bashe, usingekuwa unawatetea magamba ungeeleweka zaidi, tatizo linakuja
pale unapotumiwa na magamba. Vua kwanza gamba ndo tukuelewe
 
Mungu mwema, kuna vijana wachache miongoni mwa genge kubwa la vilaza wa chama Tawala angalau wanasema ukweli katika rangi zake....
 
Ujumbe mzuri lakini Wasi Wasi wangu sijui kama ujumbe kama huu angeutoa kama yeye angekuwa ni mbunge wa CCM au kama In da house baba mwenye nyumba angekuwa ni lowasa. Bashe ili usiutsaliti "uzalendo" wako unaounyesha sasa ukiwa sebuleni nenda upinzani . Utakuwa huru zaidi.
Bashe usitoke CCM, ukitoka sasa hivi watakutafutia sababu za kukukwamisha.Bahati mbaya hawatakuwa na huruma kwako hata kidogo.Wabaya wako bado watawala.
 
Ana hoja nzuri sna.....tati moja akiwa na wana ccm wenzake anaweza ongea kwa uwazi na wakamwelewa....manke najuwa mle kwenye vikao wanatishana huyu ni mwenzetu au siyo....
 
70522_100001601868505_7816183_n.jpg
Ombi Langu kwa wabunge wa chama changu, si kila jambo kulipinga swala la Posho (sitting allowance) hakuna sababu ya kulivalia njuga na kulazimisha kulipata,wabunge wanapata Mshahara,posho ya kuwa nje ya kituo ,posho ya ubunge FEDHA HIZI zinawatosha ukiangalia hotuba ya zito tunasema pato la mtanzania ni 770,000 lakini kuna asilimia 20% ambao wanashikilia 42% ya pato la taifa (32trillion) kati ya hizo wakati 20% ya masikini wa chini kabisa wanashikilia only 7% ya pato la Taifa.
Kwa mtazamo wangu ikiwa sitting allowance ambayo kwa ujumla wake ikipunguzwa tuta save 900bn fedha hizi zikiamuliwa kupelekwa katika sekta ya ELIMU kuondoa kero ya waalimu kuishi madarasani kwa kuwajengea nyumba, kwa majirani,ama kuondoa kero ya Mabweni ktk shule za kata,ama kuondoa kero ya MAABARA katika shule za kata,ama kupelekwa katika sekta ya Afya , tutakuwa kama Taifa tutamaliza tatizo kubwa sana tutaipunguzia serekali na walipa kodi mzigo wa fedha ambazo haziendi katika shughuli za maendeleo,Niwaombe wasiitazame hoja imetoka kwa nani wa chama gani waipokee na kuiunga mkono Mtakuwa mmeitendea HAKI nchi yetu,na watanzania ambao mustakabali wa maisha yao katika miaka mitano ijayo upo mikononi mwa serekali ya CCM (cham chetu) hata kama kama mnaipata kwa mujibu wa sheria na kanuni fanyeni cost benefit analysis kwa kuliangalia taifa na si nyinyi peke yenu.kama taifa tutfaidika zaidi fedh hizi msipopokea na kuamua kama bunge zipelekwe katika shughuli za maendeleo.Wapo wabunge ambao wana jenga Hoja ya kwamba Posho hizo zinawasaidia ktk shughuli za Majimbo, inawezekana inaukweli,lakini kama MFUKO WA MAENDELEO WA JIMBO ,POSHO YA UBUNGE 5M,ALLOWANCE YA KUKAA NJE YA JIMBO 80,000,MSHAHARA 2M vyote hivi vimeshindwa kukusaidia kuhudumia Jimbo basi hata hiyo Posho haita weza,naamini mnatuongoza tutawaona si wabinafsi mkiunga mkono hili kwani mnachpata kwa maisha yenu kinawatosha.Itendeeni haki Nchii hii katika kipindi hiki ambachi ambacho maisha yanazidi kuwa magumu shilingi inashuka, kuna vijana wenzetu million 11 wanahitaji msaada waliopo mashuleni na vyuoni wanahitaji msaada wenu mtakuwa mmetenda haki sana kwa kusamehe hicho kidogo,nimuombe Mbunge wangu aunge Mkono kusamehe hiyo Posho 70,000 ni Tofali 350 za kuchoma kwa bei ya kule kwetu ,mara siku za vikao ,ni fedha nyingi tutapata mabweni, maabara,ama fedha hiyo utakuwa umesaidia vijana wengi kulipiwa ada ktk shule za Kata. Kwahiyo ni vizuri likaungwa mkono jambo hili ili kuisaida Nchi
mahali ambapo watanzania tumepote ni hapo kujali maslahi ya vyama zaidi ya taifa, vyama vyote vina weza kuwa na wanacha hawazi milioni tisa, wanazanai tuko 42m
 
Embu nisaidieni,
nguvumali amemsikia bashe akisema, ameona bashe alipoandika au nguvumali ndie bashe?
 
Hoja nzuri, lakini tatizo ni kwamba chama chako kiko kwa maslahi ya chama na watu binafsi zaidi kuliko maslahi ya Taifa. Siamini kama wanaweza kukusikiliza, hata wakikusikiliza hawatakuelewa.
 
Hoja nzuri, lakini tatizo ni kwamba chama chako kiko kwa maslahi ya chama na watu binafsi zaidi kuliko maslahi ya Taifa. Siamini kama wanaweza kukusikiliza, hata wakikusikiliza hawatakuelewa.
kile chama kinawatu dhaifu na waliochoka kufikiri, wanaojitahidi kufikiri ni hawa watoto, ambapo kuna wakati tunashindwa kuhisi kuwa wasemayo ndio wanayomaanisha ! Nani alitegemea Nape leo angekua kafir wa fikra .
Nani alitarajia Nape angeperfom chini ya uwezo wa mzee Makamba na Tambwe Hiza ?
 
70522_100001601868505_7816183_n.jpg

Ombi Langu kwa wabunge wa chama changu, si kila jambo kulipinga swala la Posho (sitting allowance) hakuna sababu ya kulivalia njuga na kulazimisha kulipata,wabunge wanapata Mshahara,posho ya kuwa nje ya kituo ,posho ya ubunge FEDHA HIZI zinawatosha ukiangalia hotuba ya zito tunasema pato la mtanzania ni 770,000 lakini kuna asilimia 20% ambao wanashikilia 42% ya pato la taifa (32trillion) kati ya hizo wakati 20% ya masikini wa chini kabisa wanashikilia only 7% ya pato la Taifa.


Kwa mtazamo wangu ikiwa sitting allowance ambayo kwa ujumla wake ikipunguzwa tuta save 900bn fedha hizi zikiamuliwa kupelekwa katika sekta ya ELIMU kuondoa kero ya waalimu kuishi madarasani kwa kuwajengea nyumba, kwa majirani,ama kuondoa kero ya Mabweni ktk shule za kata,ama kuondoa kero ya MAABARA katika shule za kata,ama kupelekwa katika sekta ya Afya , tutakuwa kama Taifa tutamaliza tatizo kubwa sana tutaipunguzia serekali na walipa kodi mzigo wa fedha ambazo haziendi katika shughuli za maendeleo,Niwaombe wasiitazame hoja imetoka kwa nani wa chama gani waipokee na kuiunga mkono Mtakuwa mmeitendea HAKI nchi yetu,na watanzania ambao mustakabali wa maisha yao katika miaka mitano ijayo upo mikononi mwa serekali ya CCM (cham chetu) hata kama kama mnaipata kwa mujibu wa sheria na kanuni fanyeni cost benefit analysis kwa kuliangalia taifa na si nyinyi peke yenu.kama taifa tutfaidika zaidi fedh hizi msipopokea na kuamua kama bunge zipelekwe katika shughuli za maendeleo.

Wapo wabunge ambao wana jenga Hoja ya kwamba Posho hizo zinawasaidia ktk shughuli za Majimbo, inawezekana inaukweli,lakini kama MFUKO WA MAENDELEO WA JIMBO ,POSHO YA UBUNGE 5M,ALLOWANCE YA KUKAA NJE YA JIMBO 80,000,MSHAHARA 2M vyote hivi vimeshindwa kukusaidia kuhudumia Jimbo basi hata hiyo Posho haita weza,naamini mnatuongoza tutawaona si wabinafsi mkiunga mkono hili kwani mnachpata kwa maisha yenu kinawatosha.

Itendeeni haki Nchii hii katika kipindi hiki ambachi ambacho maisha yanazidi kuwa magumu shilingi inashuka, kuna vijana wenzetu million 11 wanahitaji msaada waliopo mashuleni na vyuoni wanahitaji msaada wenu mtakuwa mmetenda haki sana kwa kusamehe hicho kidogo,nimuombe Mbunge wangu aunge Mkono kusamehe hiyo Posho 70,000 ni Tofali 350 za kuchoma kwa bei ya kule kwetu ,mara siku za vikao ,ni fedha nyingi tutapata mabweni, maabara,ama fedha hiyo utakuwa umesaidia vijana wengi kulipiwa ada ktk shule za Kata. Kwahiyo ni vizuri likaungwa mkono jambo hili ili kuisaida Nchi



Bashe umesema kweli sasa Mwambie Nape Vuvuzela asiye jua anafanya nn na hata baadhi ya argument zake za kizembe kama kutoa Elimu Bure na kupunguza gharama za vifaa vya ujenzi hizi ndizo zinaweza kutumika sasa siyo kila kitu mpaka aelekezwe! Binafsi nina wasiwas na shule ya Nape 100%

Congratulation Bashe hata wakisema sio raia plz Join any other political part guy sio kwamba mstaakabali wako wa kisiasa utaamuliwa ndani ya CCM tu maana hata Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere aliwahi kuwa na maono ya kuihama CCM baada ya kuona imevamiwa na Magamba!
 
Vyema umesema lakini watakuelewa kweli ? Ukweli wako unakunyima nafasi zaidi ndani ya Chama chenu maana ukweli huko ni sumu
Wewe ndio hujamuelewa, kushamiri kwa sekta binafsi ni mafanikio kwa nchi hata hivyo mapendekezo ni kuondoa posho na kurekebisha mishahara kwa uwiano, sasa hivi hao professional wanapiga miayo kutwa kwenye ofisi za serikali maana hamna cha kufanya zaidi ya kusubiri vikao, warsha na semina ili wapate posho, utapata wapi maendeleo kwa staili hiyo? Tunataka maprofesa, madokta na wengineo watumie taaluma zao sio kukimbilia siasa.
 
Kwa mtazamo wangu ikiwa sitting allowance ambayo kwa ujumla wake ikipunguzwa tuta save 900bn

kama wabunge watakuwa wanakaa kikao kila siku ya mwaka....365days x 320members x70,000 =8,176,000,000.
Naunga mkono posho ziondolewe ila inbidi hata posho za mafuta/usafiri kwenda kazini ziondolewe.
Ila mkuu,hatutasevu bilioni 900,bali kama bilioni 2 hivi. depending on how many days hawa jamaa watakaa.
 
Back
Top Bottom