Husninyo Pokea Proposal

Walah hapa ntalazimika kureport abuse, khaaa kongosho wewe mwenyewe wajua mie ni mtulivu, sitangi tangi hovyo!
Hahahaaa ila wewe huna tatizo....mziki ni Kabakabana na Husninyo....
Kwanza Kaby akija hapa akakuta Husny yuko in love na Judgement lazma nayeye atamtaka Judgement na lazma atamchukua km alivyofanya kwa Uporoto hadi wakaachana na Husninyo
 
Pole yake uporoto,alisahau mabint wote tuliopitia twishen za ashadii soko letu halina mipaka!kwa raha zako mwaya ujane mchezo!niko na shemeji yako papa rejao nakupongeza sn!

ahsante sana sisty, natoka na shemeji yako. Hakikisha watu hawafanyi fujo hapa. Halafu waambie mabaunsa wawatoe nje erick na mtei.
Luv u sist.
 
Hahahaaa ila wewe huna tatizo....mziki ni Kabakabana na Husninyo....
Kwanza Kaby akija hapa akakuta Husny yuko in love na Judgement lazma nayeye atamtaka Judgement na lazma atamchukua km alivyofanya kwa Uporoto hadi wakaachana na Husninyo

Wote mi mapepe plus
 
Teh tatizo kwenye mtoko ndo shughuli kuandamana....Yan utadhani Husny yuko na katoto kake....

Majungu kama haya ya 52 hayanikwazi ! Kama nyie hata kwetu wapo wengi kuzidi kwenu ,
alafu ukisikia "hakuna masika yasiokua na Mbu" basi Mbu ndiyo kama nyie !
Mbu chezea Chandarua weye ?
 
Amy hajambo kabisa anamalizia usafi then atajumuika nasi muda si mrefu....
Ulikuwa honeymoon Loliondo au maana wote hamkuwa mnapatikana hewani

Awapi tuko bankok huku hakuna airtel wala tigo ndio maana,alafu ww mbona unatia fitna sn kwa husni kuopoa mume mpya?acha hizo bana!mbona uporoto alipomtoke kabakabana hamkurema?
 
ahsante sana sisty, natoka na shemeji yako. Hakikisha watu hawafanyi fujo hapa. Halafu waambie mabaunsa wawatoe nje erick na mtei.
Luv u sist.

Wanitoe kwa sababu nimeweka pingamizi?
Najua utakuwa unaniletea 2nda as usual ila mi nataka kwanza UPOROTO ardhke na hii couple yako mpya. Mi cna presha nawe.
 
tayari nimewasiliana na UPOROTO pa1 nd ndugu wengne wa kikeni.
Couple yao ni ya kihuni hvyo haitambuliki.

Hehehe,mie nikiwa mmoja wa ndugu wa kiken nimekubaliana na uhusiano huu,na huyo uporoto atajibeba kwan ni zamu ya husni kuenjoy na mwanaume wa ukweli,na tutahakikisha ndoa inafungwa husni na jg lol!
 
Majungu kama haya ya 52 hayanikwazi ! Kama nyie hata kwetu wapo wengi kuzidi kwenu ,
alafu ukisikia "hakuna masika yasiokua na Mbu" basi Mbu ndiyo kama nyie !
Mbu chezea Chandarua weye ?
Lol
Sisi hatuna majungu ila tunakuonea huruma hata wewe...hebu angalia hata SweetLady anavyosema hapa chini....
Yaani wewe na husninyo mmekuwa daladala? Au mpira wa kona?
Mimi hapana swahiba, labda Husninyo...
Umeona eeeh na hawakuambii ukweli juu ya Husny...mimi nakusaidia Judgement
 
Husninyo ucwe unasahau kuja kwangu kama kawa. C unajua jnc ndondo inalipa. Nakukubal sana kwa out work aka ndondo.

Hata mshipa haunigongi !
Wala issue yako haipelekei nikameza Panadol, kwani najua kwenye mikusanyiko ya watu hua hapakosekani Nzi! Japo wawili wa3 !
 
Mie sijivungi
kama boda boda, nikiona hawaji nawasaka mwenyewe.

Huyu Ricky atamwagiwa tindikali muda si mrefu.

Hehehe,hapo ndio unanifurahishaga,lzm utakua kwa bepari lol!hv hawa akina eric na mteo mbona km wanatia fitna kwa husni na judgement jaman!
 
Back
Top Bottom