HUSNINYO NA MWENZIE SWEETLADY,wamekuja mjini wanajidai masista duuuu!..

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
kweli wadada nyie mna mbwembwe...niliwaona watoto wakaree mbaya afu mmejiweka juu...kumbe enzi zenu ilikua bure kabsaa...
 
Attachments

  • IMG-20120327-WA0001.jpg
    IMG-20120327-WA0001.jpg
    31.6 KB · Views: 139
Tulikuwa wakali wewe.. Ona nywele zetu, ona miguu hiyo. Na hapo tulikuwa bado hatujavunja sinia.
 
Tulikuwa wakali wewe.. Ona nywele zetu, ona miguu hiyo. Na hapo tulikuwa bado hatujavunja sinia.

hahahaaa...wewe ni yupi apo?
au ndo ww unakazana kujitazama hapo km umependeza...loh huku mjini mnatuuzia mbuzi kwa gunia aloo.!
 
Jaman jaman!ww Bagah huu mpango jaman huogopi kuvunja ndoa za watu jaman lol!hujui hao wote wake za watu jaman!
 
Jaman jaman!ww Bagah huu mpango jaman huogopi kuvunja ndoa za watu jaman lol!hujui hao wote wake za watu jaman!

waache kujidai...akati enzi zao ndo kama ivyo...kila kitu wazi...weusiii...afu saa hizi wanajiona wazuungu...na nywele za kuunga na supagluu!...niliiokota hii pic kwa braza angu Jg!
 
he he, umenikumbusha, wajukuu humwita bi mkubwa wangu 'bibi du'

kumbe na hawa ni bibi du's
 
Jaman jaman!ww Bagah huu mpango jaman huogopi kuvunja ndoa za watu jaman lol!hujui hao wote wake za watu jaman!

ngoja nimuite mme wangu. Halafu swahiba nampigia simu simpati. Wakija hapa bagah tutaila na chai
 
no wonder mkeo anakua LONELY mpaka anatangaza jamvini...muda wote unanichunga mdogo wako!tehee!
Dogo mbona mgumu kuelewa?
Alikuambia nilikuwa safari...sasa huelewi nini??
Kwanza mambo ya kifamilia yanakuhusu nini???
Umbea na majungu yamekujaa tu
 
ngoja nimuite mme wangu. Halafu swahiba nampigia simu simpati. Wakija hapa bagah tutaila na chai
Tena mi kwa hasira nitaitafuna kavukavu kwanza then nashushia nba chai baadaeeeeee akome kabisa....
 
waache kujidai...akati enzi zao ndo kama ivyo...kila kitu wazi...weusiii...afu saa hizi wanajiona wazuungu...na nywele za kuunga na supagluu!...niliiokota hii pic kwa braza angu Jg!

Jaman asa c ungewatafuta private na ukamalizana nao!ukiokota yangu tafadhali tumalizane bila kuletana huku lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom