Husninyo husninyo!

Jaman Asha D, lizzy naombeni mnielewe kuwa mchecheto kwa bibi yangu Cheusi mangala bado uko palepale, hus nilikuwa namshauri aweke avatar yake kwa niaba ya wengine ambao hawana. Sio kwamba nimezima kwingine!


Sasa nimekupata Sharo... I thot umeanza u-player kijana ungepigwa ...:ban: lol...
 
Hey uko poa?? Kuna uzi mmoja ulikimbia, sijui uzi gani nimesahau...lol... Enways watu wameshagawa maeneo nakushauri ufanye haraka!

Unanifundisha kuchakachua eh?? lol...!
Pia kuna uzi wa "Lizzy" kule unaitwa "nani........?" pitia kidogo kule
Nilichelewa kidogo.
Happy to see u lol kwenye uzi huu
 
Unanifundisha kuchakachua eh?? lol...!
Pia kuna uzi wa "Lizzy" kule unaitwa "nani........?" pitia kidogo kule
Nilichelewa kidogo.
Happy to see u lol kwenye uzi huu

Saizi kuchakachua kwenye uzi imekua ilie mbaya,
wewe hadi uzi ulokua unajaribu kuweka sawa umechakachuliwa,
kule MMU sijapita kabisa, nilikua forums zingine na i owed sharo one..
naenda kwa Lizzy nikaone..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom