HUSIMWAMBIE MKE WAKO SIRI "Tafadhari mwanaume"

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,757
437
HUSIMWAMBIE MKE WAKO SIRI YAKO.

Hilitokea siku moja wakati Mr Martin na mke wake Joyce
Wakiwa wamekaa kweneye kiambaza cha nyumba yao huku wakibanika kuku.
Ndege aina ya KUNGURU akaruka pale kudonoa kuku.
MrMartin akarusha jiwe,bahati mbaya likamkosa kunguru na kumfikia mtoto wa Jirani yao na kumpika vibaya uso na kudondoka na kufarili.
Nini kilitokea basi,
Mr Martin na mke wakshauriana nini kifanyike kwani haku aliyewaona wanaua mtoto yule ya jirani.
Mr martini akamshauri mke wake hiwe SIRI,
Wakamzika mtoto yule ndani ya nyumba yao tena chumbani kwao/
- Majirani walitafuta mtoto wao bila ya mafanikio kwa muda miezi mitatu.
- MrMATINI tukio hilo lilimsumbua sana kichwani mwake’
- Yapita mwaka tangu tukio hilo la mauwaji kufanayika.
- Mr martini akamfuata rafiki yake Mr Edward na kumweza kisa chochote.
- Mr EDWARD akasema kama mke wako anajua siyo siri tena itabainika na utafungwa kwa mauwaji.
- Mr EDWARD akatoa ushauri kwa rafiki yake, NAKUSHARI kamwandalie mkeo safari ya kwenda kwao kuwaona wazazi wake mnunulie zawadi na vitu vizuri mwambie akae mwezi mmoja awasaidie kazi.
- Kweli mr MARTIN alitekeleza ushauri wa rafiki yake.
- Mr MARTIN akamfuata rafiki yake na kumweleza katekeleza ushauri wake na mke amesafiri.
- Mr Edward akamwambia rafiki yake wakatafuta MBWA MDOGO NA KUMUUA NA KWENDA NDANI WALIPOMZIKA MTOTO YULE NA KUITOA MAITI YA KITOTO KILE NA KUZIKA MBWA.
- Wakaenda polini na kumzika mtoto yule.
- Mke wa Mr MARTIN ALIREJEA TOKA SAFARI.
- Maisha yalikwenda kama kawaida na baadaya miaka MIWILI mr martini na mke wake wakakosana tena ugomvi mkubwa sana ,
- MKE WAKE AKAKIMBILA KWA MAJIRANI KUOMBA MSAADA akisema mme wake anataka kumuua kama alivyoua mtoto wa jirani.
- MAJIRANI KUSIKIA IVYO WAKAENDA POLISI ,polisi walifika na kuanza msako ndani ya nyumba ya MR MARTIN.
- Polisi walifukua na kukutana na mzoga wa mbwa mdogo.
- Mwanake akawa atihani kwa kusema uhongo.
- MR martin alijitetea kuwa nizindiko la nyumba na biashara yake.
- MKE AKAENDA JERA KWA KUATARISHA AMANI MTAA HULE.
Mr Edward akamfuata rafiki yake wakumbuka nikuambia mwanamke aambiwi siri ya mwanaume.
BY MZEE WA RUBISI
 
Hahahaha,dah bonge ya hadithi ila kuswahili hicho sasa duh!
Very nice
 
Hapo naona kibaya ni kumwambia mkeo madhambi yako. Sisi wanawake hatuna vifua vya kutunza siri. Na tukijua madhambi ya wanaume zetu ndio tunayatumia madhambi yao kama silaha za kuwaangamiza tunapo gombana, na pia tunayatumia madhambi yao hayo kuwanyanyasa.
 
Hapo naona kibaya ni kumwambia mkeo madhambi yako. Sisi wanawake hatuna vifua vya kutunza siri. Na tukijua madhambi ya wanaume zetu ndio tunayatumia madhambi yao kama silaha za kuwaangamiza tunapo gombana, na pia tunayatumia madhambi yao hayo kuwanyanyasa.
Je kama umeolewa wajuwa mme anafanya kazi ngani au kipato chake kinatokana na malipo alisi.
Je kama ujaolewa wamjua kwa udani mpezi wako anjugulika na nini hapa town.?
 
Kweli wengi wetu tuko hivyo ila wachache pia tumebarikiwa vifua kama vya robot
 
Kweli wengi wetu tuko hivyo ila wachache pia tumebarikiwa vifua kama vya robot
Wawekuta mwanaume ni mwizi Jambazi anasafiki kwenda mikoani kufanya UJAMBAZI lakini mke wake ajui mme wake anasafiri kwenda wapi.?
 
Mbona huyo kachelewa kuitoa mpaka kagombana? mie ningeanzia kwa shostito kesho yake tu,lol
 
'ii adisi' yako ilishaletwa hapa!Na ntarudia kuuliza swali nlilouliza then..na huyo rafiki akigombana nae itakuaje?
 
'ii adisi' yako ilishaletwa hapa!Na ntarudia kuuliza swali nlilouliza then..na huyo rafiki akigombana nae itakuaje?
Ni mala ya pili naileta.
Mr Martin TAYARI NA PALE WALIPOZIKA MAITI YA KITOTO kaenda mwenye na kuzika kenge na kuiamisha maiti hile na kuizika kwingine.Anaishi maisha bila hofu ya rafiki yake.
 
Tafadhali sana rekebisha maneno yako hapo juu, sio "Hu" ni "U"
Huwa nakereka saaana kuona sehemu inayotakiwa kuwekwa sauti "H" watu hawaweki na pale ambapo sauti hiyo haitakiwa ndipo hapo mtu anaiweka. Mfano; badala ya kusema Rais ( Kiongozi wa nchi) utamsikia akisema "Rahis" akimaanisha kiongozi wa nchi na pale neno hilo ambapo linakua ni Rahisi ( kitu kinachoweza kufanyika kwa wepesi) ndipo hukuta mtumiaji huyu akisema Raisi....aaah inatia kinyaaaaa.

Haya, sitamwambia shemeji yako siri yangu, hata hii ya leo kuwa nimekukosoa sitamwambia pia, umesikia Mpwa
 
'ii adisi' yako ilishaletwa hapa!Na ntarudia kuuliza swali nlilouliza then..na huyo rafiki akigombana nae itakuaje?

Inabidi pale akaweke mbwa mwingine tana na ahamishe mifupa ya yule mtoto,siri ni ya mmoja siku zote
 
Mzee Wa Rubisi, kuna wanawake majasiri (halafu warembo kwelikweli) wanatunza siri za waume/wapenzi wao! Mijambazi itumiayo silaha za kivita husalimisha zana hizo (pamoja na mafao ya kazi) baada ya wizi ili mamsapu asunde mahali salama!
 
Back
Top Bottom