Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,488
- 908
Ukiwa kiongozi, ukajifanya mwerevu Na kupuuza ushauri wa watu wako wenye hekima, Na kujifanya unajua kila kitu, Basi Hao washauri wazuri lazima wakukimbie Na utabaki unazungukwa Na washuri matakataka.. Na hata ukitaka ushauri kutoka Kwa wale uliowapuuza Mwanzo, kizuri watachokushauri ni UPUMBAVU Na Utajikuta unatenda UPUMBAVU..
Hata ukigoma kusikia SIKIA..
Hata ukigoma kusikia SIKIA..