Huruma za wazungu sometimes ni kituko...

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Hii nimeikuta kwenye wall page ya mholanzi aishiye Arusha, akielezea furaha ya kuokoa maisha ya mbwa.

"I think it is safe to tell now, we have a new puppy her name is Suffy and she survived the streets of Arusha, she improves, karibu nyumbani"

Huruma hii angefanya kwa mtoto wa mtaani ningemwelewa, yeye kaona bora aokote kambwa street na kuishi nako.

Kweli Africa na european tumetofautiana kwenye vipaumbele.
 
Hii nimeikuta kwenye wall page ya mholanzi aishiye Arusha, akielezea furaha ya kuokoa maisha ya mbwa."I think it is safe to tell now, we have a new puppy her name is Suffy and she survived the streets of Arusha, she improves, karibu nyumbani"Huruma hii angefanya kwa mtoto wa mtaani ningemwelewa, yeye kaona bora aokote kambwa street na kuishi nako.Kweli Africa na european tumetofautiana kwenye vipaumbele.
Duuuuuu!!!
 
Hii nimeikuta kwenye wall page ya mholanzi aishiye Arusha, akielezea furaha ya kuokoa maisha ya mbwa.

"I think it is safe to tell now, we have a new puppy her name is Suffy and she survived the streets of Arusha, she improves, karibu nyumbani"

Huruma hii angefanya kwa mtoto wa mtaani ningemwelewa, yeye kaona bora aokote kambwa street na kuishi nako.

Kweli Africa na european tumetofautiana kwenye vipaumbele.
Ni rahisi kumwokoa mbwa wa mitaani kuliko mtoto wa mitaani.
Hakuna atakayekwenda kudai kuwa mbwa huyo ni wake, lakini kwa mtoto wa mitaani mara watatokea akinababa kumi kudai kuwa ni mtoto wao. Tena sikwambii serikali, watamwanda wamkamue kwa rushwa hadi akome. Atakiwa awe na kibali/ruhusa ya kubaki na mtoto huyo. Diwani atadai mtoto huyo yuko katika manispaa yake kwa hivyo apatiwe mchango wa kuendeleza manispaa. Mkuu wa Wilaya atadai ofisi za vizazi na vifo liko katika hali mbaya, wanahitaji msaada wa kulijenga ili litoe huduma za kisasa. Wanaharakati watadai anataka kumuuza kama mtumwa. Watu wa dini watadai huyo ni gay au pedophile. Haya yote hayatomfika kwa kuokoa maisha ya mbwa.
 
Nimekupata ndugu, lakini mie naona kama ni kufuru flani kwani Binadamu kwanza halafu mmbwa baadae. Can u imaginine hicho kijimbwa kimepelekwa clinic na kinapewa maangalizi maalumu?
 
Back
Top Bottom