Huruma ya CC ndiyo pona ya Chiligati na Nape

Imany John

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
2,930
1,165
Kutokana na maamuzi ya mkutano uliomalizika jana mjini dodoma,na kutokana na Utetezi wa Lowasa,na kuhoji uhalali wa wawili hawa kuzunguka nchi nzima wakimtukana kwa kutumia pesa ya chama icho,je Nape na Chiligati wanalipi watakalokwepa?

Ngoja tuwe wazi,Nape na Chiligati hawana walilobakiza katika ccm(kwa mtazamo wangu) na iwekwe kwenye record humu jamvini kuwa cc itawaondoa kwa tuhuma izo haiwezi wabakiza.

Nawasilisha.
 
... Na nikweli kuwa kabla Nape na Chilgati hawajachukuliwa hatua ... Mwenyekiti wao aliyeasisi mchakato huo je yeye atakuwa kwenye nafasi gani?
 
Tufahamu Nape alikuwa anatafutiwe chanzo cha kutimuliwa.mana alikiuka maagizo toka mwanzo.sasa kwa kosa hili na mwenzake unafikiri watabakizwa vipi?
 
Nilikueelwa tangu mwanzo kuwa ..kwakweli ..sidhani kama kunachake hapo ..is done!!

Mimi nililenga kuonyesha BEI iliyotumika kumuuza ... !! Mwenyekiti kamuuza kwa bei ndogo sana!!
 
Cjajua atakuwa mgeni wa nani,mana hana rafiki.
 
Maskini vuvuzela! Alikuwa mjumbe kwenye halmashauri kuu ya uvccm. Akaamua kugombea uenyekiti wa uvccm na sera ya kuwashtaki EL kwa kusaini mkataba wakinyonyaji kwenye ujenzi wa jengo jipya la jumuia yao.

Akaishia kufukuzwa na kufungiwa "mbinguni na duniani". Kwa huruma ya m/kiti akapewa ukuu wa wilaya na hatimae ukatibu uenezi kwenye chama. Hata mwaka haujaisha, tayari sera ya kuvuana magamba imemgeuka!

Sasa wanataka kumvua yeye na wao (aliowaita magamba) wabaki. Mtoto anabahati mbaya sana huyu. Bora aachane na siasa akafanye kazi yake ya kichungaji aliyoisomea. Ni ushauri tu!
 
Lowassa for 2015,hata mimi ntampigia kampeni ya hadi ashinde maana kavumilia sana haya maupuuzi yaliyoelekezwa juu yake.
 
We told him sasa yeye ndiye amekuwa wa kuvuliwa atavuna alichopanda ukipanda fitina utavuna fitina.
 
Lowassa for 2015,hata mimi ntampigia kampeni ya hadi ashinde maana kavumilia sana haya maupuuzi yaliyoelekezwa juu yake.

kufeli kwa nape hakumfanyi lowasa awe safi, ni mchafu na hatufai. anakiu ya kuingia ikulu kwa gharama yoyote akafanye nini ambacho hakukifanya akiwa kiranja wa mawaziri? utajitendea haki ukitumia vizuri akili alizokupa mungu.
 
Lowassa for 2015,hata mimi ntampigia kampeni ya hadi ashinde maana kavumilia sana haya maupuuzi yaliyoelekezwa juu yake.

EL anaweza kuwa raisi lakini sio wa JMT! Tunao maraisi wengi nchini. Kuna wa tff, tucta, na vyama vingi tu vya kijamii. Huko anaweza kabisa kuwa raisi!

Ila wewe sijui rombo wa wapi. Wenzio wamepandisha bendera ya kenya......
 
Aolikuwa anacheza ngoma asiyoijua. Aliambiwa lakini hakusikiliza. Akaifufue CCJ tu
 
..."SAUTI YA UMMA NI SATUTI YA MUNGU"...Nape ungeliujua ukweli huu naamini hayo yanayokupata leo na yanayotaraji kukupata kesho yasingeli-kupata.Kwa-kutokujua na si kwa-makusudi kama wengi wanavyo dhani,uliamua kushindana na SAUTI YA UMMA WA WATANZANIA...ulipopewa hayo madaraka na kuhani mkuu(M/t wa CCM) badala ya kuwatetea watanzani wanyoge wewe ulipotea njia na kuanza kuwakandamiza ili kuwafurahishe wakuu wako,ndo maana hapo juu nimesema uliyafanya hayo kwa-kutokujua ni-nani ni mkuu kwako kati ya UMMA WA WATANZANIA na hao viogozi wako wa CCM. Ulionyesha mwanzo kuwa utafanya kile kilicho washinda watangulizi wako lakini ikawa tofauti,badala ya kupambana na ufisadi wewe ukaugeukia UMMA WA WATANZIA aka CHADEMA...Kabla jua alija-kuchwea,bado unayonafasi ya kurejea kwa Watanzani na kuwataka radhi,nawajua Watanzania ni-wapole,wakarim na wanao-samekhe na kusahau kwa haraka...
 
EL anaweza kuwa raisi lakini sio wa JMT! Tunao maraisi wengi nchini. Kuna wa tff, tucta, na vyama vingi tu vya kijamii. Huko anaweza kabisa kuwa raisi!

Ila wewe sijui rombo wa wapi. Wenzio wamepandisha bendera ya kenya......

huyu jamaaa sio rombo huyo huyo ni chasaka, mrombo hawezi kuandika upuuzi kama huu.shame on him, anadhalilisha warombo, hajaoina walichomfanyia mramba? Rombo na mafisadi wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom