Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,101
- 6,025
[h=2]Nimetumiwa form ya Mtech, hembu soma hiki kipengele then:
References[/h]
For master applicants: Give the name of two academic or professional referees. State their function and give complete contact details. Join the reference letters, completed and signed by these two referees in a sealed and stamped envelope.
Tatizo langu ni kwamba hiyo reference(s) letter naandika mimi au hao referees?na kama naandika mimi, je barua inakuwa moja ambayo itakuwa signed na referee wote wawili au zitakuwa barua 2 separate?
Na je hao referee ni lazima watoke college niliyosoma au mtu yeyote proffessional anaweza kuwa referee?(kwa sababu nimesoma nje ya nchi na sasa nipo bongo, so kupata barua za college nilikosoma hapa ni inshu).
Kikubwa kwenye hiyo form,zipo sehemu zote zinazotaka nionyeshe academic profile yangu(thatz fine)...lakini hamna kipengele ambacho kinataka niaambatanishe all academic documents...so hapo inakuaje? Niziambatanishe tu ama?
Naomba Quick responce mwajameni, wenye uzoefu wa haya mambo!

| |