Hurricane Sandy inapiga wiki hii na kuathiri kura za Urais Marekani.

Jaluo yamemkuta....!

_63785994_63785993.jpg
 
OH GOOD GOD!!!
[FONT=times new roman, new york, times, serif]GOOD GOD IS PUNISHING AMERICA RIGHT HERE ON EARTH,[/FONT]
[FONT=times new roman, new york, times, serif]FOR WHAT IT DID AROUND THE WORLD!!
[/FONT]



ZANZIBAR NI KWETU: HURRICANE SANDY!
 
Yaani wewe una chuki zimekujaa hadi unahisi vimbunga na mafuriko.vinakusupport na chuki zako? You sound so evil aisee. Mie nimefundishwa usilitaje bure jina la Mungu wako, maana utahesabiwa hatia.
 
Si afadhali marekani wana kimbunga na wameweza kukikabili mapema. Sasa wewe unataabika na njaa, huku Uswiss kuna mabilion ya pesa za wizi za kukukomboa na umekaa kimyaa. Tena kabwe kapeleka hoja bungeni lakini kaonekana ni assistant chizi mbele ya anna. Rada, Richmonnd, Ndege ya raisi, account ya siri ya chenge, na gharama haramu za ujenzi wa majumba ya BOT, scandals hizi ni chungu sana na madhala yake kwa maisha ya sisi watanzania ni makali sana kupita hiyo sandy hurikane ya USA.

Chuki zako kwa marekani ni za kidini tuu na hazina mantiki yeyote. Yanayotokea syria, Misri, Libya na Yemen, nayo utasemaje. Maana huko watu wamekufa kijinga sana kwa kudai haki zao, sasa nayo hiyo ni act of God? You real need to wise up and grow up!
 
mimi mbona nishapiga kura na kumchagua Obama tokea wiki mbili zilizopita. Mahakama karibia zote marekani zilikuwa zimefungua idara ya kupiga kura na naona hiyo siku ya uchaguzi ni watu wachache sana watapiga kura maana wengi wameisha piga.
 
lazima tumpigie Obama maana huyu ndiye raisi aliye angamiza kundi la Al Aqaida na kumfukia majini king wao "Osama bila deni la kulipwa!!!!!!!"
 
Back
Top Bottom