Obama depends on early voting ,Monday,Tuesday,Wednesday early voting.Obama need to start looking for PUNDIT.obama needs NY,CT,NC ,Virginia.hurricane hiyoo watu hawataweza kutoka kupiga kura
I believe Romney will win the election.
According to the current opinion polls the numbers do not add up for a Romney victory.I believe Romney will win the election.
Ndugu yangu, hebu mueleweshe huyo Mhaya Natalia yeye anatamani majanga kama haya yatokee ili kaburu Romney ashinde. Kwa taarifa tu ni kwamba Obama yuko DC akifuatilia zoezi hilo kwa ukaribu. Hataki yatokee tena yale ya Benghazi lakini pia hii itamuongezea umaarufu maana kwa kuonekana tu White House akipanga safu ya kukabiliana na hicho Kimbunga ni kampeni tosha itakayomuonyesha kuwa anajali. Kwa upande wake Kaburu hataonekana kabisa kwani hataweza kusafiri na wala kupiga porojo wakati kwa sasa watu wanasaka usalama wa maisha yao kwanza. Hiki Kimbunga nina uhakika kimemfuata Romney na kitamsomba mzima mzima na atakuja kuokolewa na Commander-in-chief Barack Obama baada ya Nov. 06. Natalia, take my word and let's resume the discussion on Wednesday 07 Nov.According to the current opinion polls the numbers do not add up for a Romney victory.