Huo ni ufisadi !

nkyandwale

Member
Feb 8, 2011
64
14
Wataalamu wa tiba za binadamu kukataa kutowa huduma ya kitabibu kwa waathirika wa milipuko ya mabomu ya kule Gongo la mboto ni aina mojawapo ya ufisadi.

Huwo ni ufisadi mbaya zaidi ya ule wa EPA, DOWANS, .... hawo hawajali UTU KWANZA? Wapo kibiashara zaidi ? HOSPITALI HIZO ZIWAJIBISHWE. Ufisadi ni kushindwa kutimiza wajibu. Wamesomeya kutibu nini kama si pamoja na majeruhi hawo ! NAWASHANGAA!!! Aibu gani hii !
 
Back
Top Bottom