Humphrey polepole ndani ya kipindi cha mada moto channel ten live

Allyoki

JF-Expert Member
Mar 23, 2007
251
138
Albert kilalah yuko na polepole wakizungumzia nini matarajio ya watanzania kwa serikali ya awamu ya tano?
 
Alikuwa mwanaharakati sasa ni kada wa CCM hana mvuto tena wala sitaki kumsikia alivyo mnafiki
Watanzania waliowengi tunamshukuru sana Polepole kwa elimu alioitoa kwa watanzania na kutuepusha kuingia kwenye mikono ya yule fisadi
 
Labda atatupa mwanga wa tunakoelekea sisi abiria wa MV Dar es Salaam!
 
Watanzania waliowengi tunamshukuru sana Polepole kwa elimu alioitoa kwa watanzania na kutuepusha kuingia kwenye mikono ya yule fisadi
Fisadi gani hahukumiwi mkuu? Hakuna anayemtaka Fisadi ila Yale ni mbinu za kisiasa tu, msubiri hata J.Makamba mtamuundia zengwe kwa sababu ana nia ya kugombea Urais.Pinda alikataa kujihuzulu ishu ya Escrow vinginevyo angeitwa fisadi Leo. Subiri awamu ya Magufuli kama atampeleka mahakamani kwa kwa ufisadi.Acha Unyumbu mkuu uwe unajipima kwanza
 
Back
Top Bottom