Humphrey Polepole kama DC,ataipinga Katiba inayopendekezwa?

Iyegu

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
6,276
12,397
..Humphrey Polepole "alikuwa" ni mmoja wa watu walioipinga "katiba inayopendekezwa" kutoka "bunge maalum la katiba"
..mpaka muda huu bado "kura" ya maoni haijapigwa.Je,Humphrey kama "Mkuu wa Wilaya" ataipinga katiba inayopendekezwa endapo kura ya maoni itaanza?????
 
Back
Top Bottom