Hulka hii inatusaidiaje watanzania?

Tausi Mzalendo

JF-Expert Member
May 23, 2010
1,471
722
Bora tungekuwa mabubu ili siku tukizidiwa tuseme na tusikilizwe.
Kinachotufanya watanzania hata tusisikilizwe na watawala ni kuwa WE TALK TOO MUCH ALL THE TIME.
Tunaongea sana kwenye madogo na makubwa kwa kiwango kilekile.Mwenye kujua na ajue!
Wanasiasa wanachonga sana, wananchi nao wanachonga sana.
Kinachotufanya tusisikilizwe ni nini? Mizaha kwenye mambo makubwa na madogo!
Ifike mahali tuweke seriousness kwenye mambo makubwa na mizaha ibakie kwenye mambo ya mizaha.
Tuchukulie kila jambo kubwa linapotokea, utaona mizaha kwenye majadiliano.Chukulieni suala la Dr Ulimboka.Ukisoma threads utaona mtiririko wa mizaha.Ukiacha wachangiaji wenye kuleta data au scenerios za kusaidia kulielewa tatizo lililopo basi kuna utani na mizaha.Watawala na wengineo wenye kuhusika na ishu nzima nao wanapata faraja kuwa ni YALE YALEEEE!!

I BET MY LAST COIN, because of this.... ishu itapita kama zinavyopita ishu nyingine nyingi tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom