Hukumu za ubunge Ubungo na Segerea; utabiri huu hapa

May 1, 2012
95
96
Wana JF hakuna Ubishi kwamba MNYIKA atapoteza jimbo la UBUNGO na MAHANGA atapoteza SEGEREA.Mwenendo kwa kesi ulivyokuwa ni dhahiri Dar kutakuwa na majimbo mawili wazi kuanzia kesho.MNYIKA aliponzwa na MKURUGENZI akatoa laptop zake ila MAKONGORO alijitakia.So CDM jipangeni yote myanyakue na hata la kule RUKWA. Nawasilisha kwa kumwombea mnyika kila la heri kwani UTENDAJI wake ni mzuri sana ila ajifunze asitegwe tena wakati mwingine.Nasikitika pia pesa za wtz zitatumika kurudia chaguzi hizi huku wafanyakazi wanalalama mishahara na ugumu wa maisha.Mungu ibariki Tz.
 
Kwenye mkondo wa sheria huwa hakuna kutabiri ( hata kama una nyota ya kutabiri kumzidi Sheh Yahya)...anything can happen...kwa hiyo usiwapumbaze wasomaji..... kwanini usisubiri matokeo si ni hivi karibuni?
 
Wana JF hakuna Ubishi kwamba MNYIKA atapoteza jimbo la UBUNGO na MAHANGA atapoteza SEGEREA.Mwenendo kwa kesi ulivyokuwa ni dhahiri Dar kutakuwa na majimbo mawili wazi kuanzia kesho.MNYIKA aliponzwa na MKURUGENZI akatoa laptop zake ila MAKONGORO alijitakia.So CDM jipangeni yote myanyakue na hata la kule RUKWA. Nawasilisha kwa kumwombea mnyika kila la heri kwani UTENDAJI wake ni mzuri sana ila ajifunze asitegwe tena wakati mwingine.Nasikitika pia pesa za wtz zitatumika kurudia chaguzi hizi huku wafanyakazi wanalalama mishahara na ugumu wa maisha.Mungu ibariki Tz.
Kuna mtu ameanzisha thread https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-mbunge-lema-imeibua-mahakama-za-mitaani.html, sasa kila mtu amekuwa mtabiri. Hata Sumbawanga walitabiri hukumu yake mambo yakawa ndivyo sivyo, wakaja tena na utabiri wa Biharamulo mambo yakawa ndivyo sivyo na Ubungo itapita sijui mtabaki na jimbo gani la kutabiri. Kweli hukumu ya Lema imeibua watabiri wengi wa mitaani.
 
Haya tena kumekucha kwa utabiri! Mbona ilisemwa pia Lissu atapoteza na ikawa kinyume. Mi nadhani tusubiri hukumu itakaposomwa.
 
Kumbe ni utabiri, wale wa sheikh Yahya watafuatilia.
Tumepata mtabiri aliyetumwa leo, karibu sana.
Nilifikiri jina lako ni Kindokyakombe.
 
...hata mi nimesikia watoto wa chekechea wakizungumza hivyo, ila watu wazima wanasubiri uamuzi wa mahakama.
 
Join Date : 1st May 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Wana
JF hakuna Ubishi kwamba MNYIKA atapoteza jimbo la UBUNGO na MAHANGA atapoteza SEGEREA.Mwenendo kwa kesi ulivyokuwa ni dhahiri Dar kutakuwa na majimbo mawili wazi kuanzia kesho.MNYIKA aliponzwa na MKURUGENZI akatoa laptop zake ila MAKONGORO alijitakia.So CDM jipangeni yote myanyakue na hata la kule RUKWA. Nawasilisha kwa kumwombea mnyika kila la heri kwani UTENDAJI wake ni mzuri sana ila ajifunze asitegwe tena wakati mwingine.Nasikitika pia pesa za wtz zitatumika kurudia chaguzi hizi huku wafanyakazi wanalalama mishahara na ugumu wa maisha.Mungu ibariki Tz.

Mjukuu wa Sheikh Yahaya Husein........:A S-fire1:
 
Sheria kama zina intertain utabiri poa.
Kiravu atatakiwa awe mshtakiwa namba moja, kwakuwa alisimamia zoezi zima ubingo.
 
wana jf hakuna ubishi kwamba mnyika atapoteza jimbo la ubungo na mahanga atapoteza segerea.mwenendo kwa kesi ulivyokuwa ni dhahiri dar kutakuwa na majimbo mawili wazi kuanzia kesho.mnyika aliponzwa na mkurugenzi akatoa laptop zake ila makongoro alijitakia.so cdm jipangeni yote myanyakue na hata la kule rukwa. Nawasilisha kwa kumwombea mnyika kila la heri kwani utendaji wake ni mzuri sana ila ajifunze asitegwe tena wakati mwingine.nasikitika pia pesa za wtz zitatumika kurudia chaguzi hizi huku wafanyakazi wanalalama mishahara na ugumu wa maisha.mungu ibariki tz.

..tuiachie mahakama itoe hukumu sio sisi kutabiri
 
Back
Top Bottom