Hukumu ya Zombe: Aachiwa!

Najaribu kulipuliza lakini wapi! Presha iko juu tu!

dah, mkuu nakuona aisee!.

Kafiribangi
user_online.gif
 
kuna muda aliboronga mabo akaondolewa ujaji kiongozi naanza kupata wasi wasi na credibility yake na pengine judgement yake leo
 
Mpaka muda huu watuhumiwa 7 nasikia washaachiwa... Ngoja niongee na mwandishi wetu kisha narejea

Mkuu Invi.. ni akina nani hao? lete more update. Mi naomba tu mnibakishie Zombe asitoke jamani...
 
Nasikia mahakamani kuna Spika kubwa watu wanasikiliza...ila toka nipate updates za mwisho za judge kumaliza marejeo ya ushahidi...sijui ni nini kinaendelea
 
Mpaka muda huu watuhumiwa 7 nasikia washaachiwa... Ngoja niongee na mwandishi wetu kisha narejea
mbona zombe nae atakula ubwabwa nyumbani leo?kwa tz aah inawezekana sana tuu.atatoka mtachonga sana ndani ya hrs tutasahau zitafuata habari za NEC Dodoma ndo zitashika hatamu,haya hii ndo tz
 
Sasa haya mambo mengine kabisa 7 huru ? ukweli au kijeli sasa kama ni huru basi na kubwa lao litakuwa huru, jamani acheni masihara wenzenu wengine saa hizi tunapumua kama funza tunahema kama kupe hembu tupeni taarifa za uhakika tupumue vizuri au mambo ndio bado sasa bado kivipi tena?
 
Duh wanaona wanajamvi mko mkao wa kula.
Ngongo, 7ceven, Al Zagawi, AmaniKatoshi, babukijana, Babuyao, Bambo jr, Belo, Bill, Bint, bnhai, Boney E.M., Bongolander, Bwana, Elusive, Exaud Minja, ExpertBroker, Fatuma, Fidel80, FrankGM, George_Porjie, gervase malimi, gn30, Ipo siku, Jitukali, jituparatupu, JoJiPoJi, JosM, Joyceline, Kafiribangi, Kagoma, Kakalende, Kang, Katibukata, Kenge (Eng), Kimambo, Kimbweka, kinepi_nepi, Koiya, Kuntakinte, Kyemba, libidozy, Limbani, Lunanilo, Lussadam, Maamuma, Mairo, Masatu, Mathias, Maverick, Mburahati, Mchukia Fisadi, Mhafidhina, Mnyonywaji, Mpingo1, Mshiiri, Mtabaruka, Mtana, Mtu66, Mulugwanza, Mundu, mwalimu, Mwita Maranya, mzundu, Naminyo, Ndaga, Ndanda to Lomwe, Nemesis, Next Level, Ng'azagala, Ngorunde, Nimrodi Nkono, Njilembera, Offish, Pasco, PhD, Prince, RealTz77, rosebella, Shapu, share, Shy, SMU, Solent, Son of Alaska, SONDAS, taffu69, Thadeus, thurwa, Tshala, vstdar, Wa mmoja, Wa Tsavo, Wambandwa, watu, ygjunior
 
Presha iko juu ile mbaya!
 
kwa mujibu wa ripota wangu ni kamba wanaendelea kuisoma.amelalamika kwamba spika zao zimechoka sana,zinazizima tu.
 
Sasa haya mambo mengine kabisa 7 huru ? ukweli au kijeli sasa kama ni huru basi na kubwa lao litakuwa huru, jamani acheni masihara wenzenu wengine saa hizi tunapumua kama funza tunahema kama kupe hembu tupeni taarifa za uhakika tupumue vizuri au mambo ndio bado sasa bado kivipi tena?

tulia mkuu!,
watu wa huduma ya kwanza vp jamani?, watu watakufa hapa.
 
Back
Top Bottom