Hukumu ya Zombe: Aachiwa!

Masatu

JF-Expert Member
Jan 29, 2007
3,276
125
MAHAKAMA Kuu Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo itaamua Kamishna Msaidizi wa Polisi, Abdallah Zombe na wenzake wanane wanyongwe au la. Jaji Salum Massati atatoa hukumu ya kesi ya mauaji inayowakabili washitakiwa hao wanaodaiwa kuwaua watu wanne
Updated by Invisible:

Watuhumiwa wote wameachiwa hawana hatia!

2796.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mungu aingilie kati wapate haki yao kama ni hukumu iwe ya kweli na inayowafaa
 
duh Zombe akitoka kutakuwa na mkono wa mtu jamaa ana historia chafu na ovu sana kwa watu waliokamatwa enzi zake itakuwa vema akifungwa tu kwa maslahi ya wale wote aliowatanguliza akhera tangu akiwa RCO TANGA .
 
Tanga ni cha mtoto, Huyo ushenzi aliuanzia alipokuwa "Moshi" Kilimanjaro, lakini Phd tuseme mimi na wewe ni Simba na Yanga, je utashabikia timu ipi ifungwe? Zombe au Mramba au hapo huna timu!
 
Kaka umenigusa sana zombe ni fisadi aliyeua watu very directly akina mramba , rostam ,el , jkm, karamagi na wenzao wanatuua watanzania polepole so mi nafikiri zombe ahukumiwe kunyongwa instantly na hao mafisadi wengine tuwakamate tuwaue taratibu leo unakata mguu wa kulia a month later wa kushoto unasubiri miezi miwili unakata mkono naamini kwa stahili hii tanzania itanyooka tu.
 
Sioni sababu ya kumhukumu zombe,kabla ya hukumu kwani majaji ndiyo wwenye kujua hizo sheria,hata kama mazingira yanaonesha aliua lakini hiyo si kigezo cha ukweli,nchi hii inaongozwa kwa sheria hata kama hazifai.

Tusubiri tuone
 
Tanzania will be the same there will be no difference whether they are going to implicate him with those charges after all it is the whole corrupt system that need to be changed. Every person can be fisadi at his/her own levels think about it and then be ashamed of yourselves. We are talking about levels and degrees of ufisadis here. Zombe, R.A et al are just representatives of it or some vivid examples. There are incognitos who uses them. Remember everyone works for someone or even your conscience and instincts.
 
Haya ni masikhara sasa,anyway hiyo ndiyo sheria nakama ilikua haki yake basi Amshukuru Mungu
 
Usisahau kwamba Huko zambia hukumu ya raisi wa zamani wa nchi hiyo ni
leo , Nafikiri inaweza kuvunja rekodi hukumu hizi zikisomwa kwa nchi
chini ya jangwa la sahara
 
Back
Top Bottom