Hukumu ya Lissu - Jisomee mwenyewe

We ndo mautumbo ya bata kabisa..kupata div 1 ndo akili?? Na division 1 zenu mnafanya kazi mshahara laki 7..watu na hizo div 3 wana kazi za maana mshahara 6m .... Jk ana gpa ya 2.3 mbona leo rais!!


Division ndiyo hutumika kama kipimo cha ufaulu wa mtihani na huakisi uelewa wa mtu(akili). Hivyo suala la div1 ndiyo akili nakubaliana nalo na iwapo imepatikana kihalali. Suala la laki 7 kwa div 1 na 6M kwa div 3, hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya mshahara na division,pia mshahara hutegemea vipaumbele vya mwajiri,na kama vipaumbele ni vibovu basi ustawi wa jamii hukwama nk nk...na ndiyo nchi yetu ilipo sasa.
 
Halafu form 6 akapata div 3 parachu parachu ya div 4 teh teh teh! wot a genius!
sawa tu mradi output inaonekana, je wale wanaofoji vyeti na wale wanaotunukiwa udokitari na wale wataalamu wa nyukilia na wale majiolojisti wa madini wametusaidia nini hata kama walipata divisheni wani fom siksi... think thinker!

...nimekumbuka kitu; kwa kusema 'endapo imepatikana kihalali' automatically umemaanisha division one sio kipimo
 
Division ndiyo hutumika kama kipimo cha ufaulu wa mtihani na huakisi uelewa wa mtu(akili). Hivyo suala la div1 ndiyo akili nakubaliana nalo na iwapo imepatikana kihalali. Suala la laki 7 kwa div 1 na 6M kwa div 3, hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya mshahara na division, pia mshahara hutegemea vipaumbele vya mwajiri,na kama vipaumbele ni vibovu basi ustawi wa jamii hukwama nk nk...na ndiyo nchi yetu ilipo sasa.

we mkojo sikiliza bana, mshahara hautegemei vipaumbele vya mwajiri bali unakuwa detarmined na thamani ya mwajiriwa kwa mwajiri. halafu kama division ndo kipimo cha akili kwa nini isiwe na uhusiano na mshahara ukizingatia kuwa waajiriwa hufanyiwa usaili kwanza nadhani ni kwa ajili ya kupima huo iliouita uelewa... kwa hiyo uhusiano lazima uwepo. kwa sasa priority ni results sio maandishi kwenye makaratasi.
 
Tulianza na Mungu, tumemaliza na Mungu.
Wanyonge tunaiona kazi yako, na Mungu amesikiliza kilio cha wanyonge.
 
Ni kweli mungu wetu ni wa haki anaependa watanzania tuwe na maendeleo.na leo ametuonyesha haki ya kweli na si dhuluma ya wana magamba
 
Magamba safari hii wameona aibu, soo lingekuwa kama la Lema. Hatima ya tawala dhalimu siku moja ni kuona aibu. Umesahau ya Pilato kwa Yesu!
 
Tundu lisu hayo ni mapito na umeyapita. mshukuru mungu kwa kila jambo. la msing jenga chama na wasaidie au wawakilishe vyma waliokutuma bungen
 
Hongereni watu wa Singida Mashariki kwa kumpata M bunge Lissu,mie namshukuru MUNGU Mtwara-Mjini tumempata M bunge kilaza Murji ni tatizo kubwa kazi ya kugonga Meza tu.Ee Mungu tujalie M bunge kama Lissu sisi wana Mtwara.

Anzisheni M4C huko kusini acheni kulala! mna rasimalimali nyingi gesi asilia na korosho lakini bado maskini ! gesi inakuja kutengeneza umeme dar nyie mnabaki gizani halafu mnaichagua ccm 100% amkeni saa ya ukombozi ni sasa! mungu amewapa akili ya kujua mabaya na maovu yote ya ccm hawezi kushuka kuja kupiga kura ni nyie mtumie akili zenu kupiga kura na kuzilinda!!
 
we mkojo sikiliza bana, mshahara hautegemei vipaumbele vya mwajiri bali unakuwa detarmined na thamani ya mwajiriwa kwa mwajiri. halafu kama division ndo kipimo cha akili kwa nini isiwe na uhusiano na mshahara ukizingatia kuwa waajiriwa hufanyiwa usaili kwanza nadhani ni kwa ajili ya kupima huo iliouita uelewa... kwa hiyo uhusiano lazima uwepo. kwa sasa priority ni results sio maandishi kwenye makaratasi.
wewe bila shaka una genetic relation na Lusinde! au siyo!!
 
kweli mheshimiwa alikuwa na haki ya kulia maana dhuluma ya ccm ni laana ambayo itaendelea kuwatafuna kila kukicha ndani ya chama.Mungu hamuachi mja wake Lissu tuko pamoja haki haipotei kwa ujinga ujinga wa kikundi cha watu wachache wachumia tumbo endelea kujenga taifa letu
 
afanye maendeleo basi jimboni kwake,aache kuzulura mitaani kufanya uchochezi.

Ni sheria tu za JF zinanibana la sivo ningegeuka Lusinde ghafla! Huyu bwana anafanya kazi kubwa sana jimboni kwake nenda uone, usijifungie ndani halafu unamsema! halafu kumbuka ni waziri kivuli wa sheria na katiba so anafanya kazi za kitaifa pia! Na kama anafanya uchochezi mbona sheria zipo wazi kwa nn wewe au magamba wenzio msimfungulie kesi ya uchochezi? si mliwahi kumfungulia kesi ya uchochezi kule Tarime baadae mkaifuta kimyakimya??Anyway sio kosa lako ni mfumo tu uliokupeleka shule za kata na JF umejiunga juzi naamini Jf ni shule utajifunza mengi na utabadilika!!
 
Daaah picha ya kwanza imenitia simanzi sana!! Daah kumbe Lissu una mke chuma kwelikweli...kama mayassa wangu aka mama gaude dot com... Aaah Tina nakuona kwa mbaliiii kumbe ulikuwepo kumpa tafu broda!! Safi sana tukutane dodoma wakati wa kikao cha budget..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Daaah picha ya kwanza imenitia simanzi sana!! Daah kumbe Lissu una mke chuma kwelikweli...kama mayassa wangu aka mama gaude dot com... Aaah Tina nakuona kwa mbaliiii kumbe ulikuwepo kumpa tafu broda!! Safi sana tukutane dodoma wakati wa kikao cha budget..


....Hauko peke yako Mkuu.
 
Mkuu elewa kwenye kutafuta ukombozi,uhuru na haki ya ukweli kuna majaribu mengi sana.Mungu akupe nguvu ya kupambana na hawa freemason wanaongoza hii nchi.Iko siku maombi yako yatatimia
 
Back
Top Bottom