Hukumu ya lema, Yamvua JK urais kisheria

Siasaniupendo

Member
Apr 2, 2012
20
7
Kama tilivyosoma vifungu vilivyotumika kumwadhibu Mh Lema, Je 2010 JK na ccm hawakuyatenda?
1)Kumkashifu Dr. Slaa masuala ya mapenzi
2)Siasa za kibaguzi
3)Rushwa
 
Tatizo la tanganyika yetu ya wachache ni kwamba, akinya kuku amekunya ila akinya bata atasikia bata kaharisha. Tujiandae kwa mwaka 2015
 
Kama tilivyosoma vifungu vilivyotumika kumwadhibu Mh Lema, Je 2010 JK na ccm hawakuyatenda?
1)Kumkashifu Dr. Slaa masuala ya mapenzi
2)Siasa za kibaguzi
3)Rushwa

Tumeshasoma mchezo wote CHADEMA inakandamizwa na serikali, Mahakama/Police/Bakwata na Usalama wa CCM,sasa tunajipanga kukabiliana nao wao wana Hela sisi tuna Mungu,
CHADEMA FOR LIFE.
 
Kwa makosa hayo, ccm hawana hatia, ila kwa CDM ni kosa kubwa sana. mahakama zetu ni za ajabu sana
 
Kwani Jk ni rais wa nchi gani maana kila siku yuko angani...labda tumuite raisi wa angani...raisi ni mhalifu kuliko hata mwizi wa kuku...
 
Vile vifungu vya sheria vilivyomvua Lema ni kwa ajili ya upinzani tu!
 
Kwa katiba ya sasa,matokeo ya urais hayawezi yakapelekwa mahakamani.Kuna mambo mengi mengi tu yangemfikisha mahakani mojawapo ni tume kutojua jk alipata kura ngapi lkn ndo rais
 
Kama tilivyosoma vifungu vilivyotumika kumwadhibu Mh Lema, Je 2010 JK na ccm hawakuyatenda?
1)Kumkashifu Dr. Slaa masuala ya mapenzi
2)Siasa za kibaguzi
3)Rushwa

Hoja yako ni kweli kama JK angekuwa amegombea ubunge. Katiba ya CCM ( I mean ya nchi ) inaweka wazi kuwa hakuna chombo chochote kitakachokuwa na uwezo kisheria wa kuhoji matokeo ya urais endapo Tume ya uchaguzi ikiisha mtangaza mshindi. Hiki kipengele kiangaliwa kwa makini sana kwenye katiba mpya, Ndicho kinawafanya CCM waendelee kuwa madarakani hata kama hawakuchaguliwa.
 
Tumeshasoma mchezo wote CHADEMA inakandamizwa na serikali, Mahakama/Police/Bakwata na Usalama wa CCM,sasa tunajipanga kukabiliana nao wao wana Hela sisi tuna Mungu,
CHADEMA FOR LIFE.

sie wachaga bana alaa!yesu atatuokoa
 
Kweli kiboko ya magamba ni Mungu tuu!! Wamejifanya mungu mtu, lakini mwisho wao ni mbaya.subirini kwanza kikombe cha uovu wao kijae ndipo mtakapoona na kujua kuwa Mungu yupo.
 
Tumeshasoma mchezo wote CHADEMA inakandamizwa na serikali, Mahakama/Police/Bakwata na Usalama wa CCM,sasa tunajipanga kukabiliana nao wao wana Hela sisi tuna Mungu,
CHADEMA FOR LIFE.
Sijaelewa hii: Mahakama/Police/Bakwata.
 
Back
Top Bottom