Hukumu ya lema ilipikwa.

don-oba

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
1,387
677
Tangu jana nilielezea kwamba nimepata taarifa kuvuja kwa hukumu ya mh Lema. Mods aliunganisha link yangu na nyingine zilizokuwa zinashabihana na hilo. Kitaaluma mimi ni mwanasheria na hakika kila mwenye taaluma hii na aliyekuwa akifuatilia kesi atabaki mdomo wazi juu ya hukumu iliyotolewa. Huyu jaji alichofanya ni kucheza na akili za watu, na nina uhakika alikua na hukumu mbili mkononi.

Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza anajua kwamba katika 'tort' ili kosa lionekane limetendwa ni lazima aliyetuhumiwa athibitishe ameathirikaje na hizo tuhuma. Inakuwaje 3rd party ndo athibitishe hilo?

Batlida hajawahi kuja mahakamani. Kesi hii inaandika historia katika mhimili wa mahakama juu ya uhuru wake. Kuna haja ya majaji katika mahakama kuu kufanyiwa enterview kama kule kenya wanavyofanya. Hii hukumu imenikumbusha mengi katika tasnia ya sheria, daima itabaki kuwa kumbukumbu mbovu kwenye mhimili wa mahakama.
 
Tangu jana nilielezea kwamba nimepata taarifa kuvuja kwa hukumu ya mh Lema. Mods aliunganisha link yangu na nyingine zilizokuwa zilizokuwa zinashabihana na hilo. Kitaaluma mimi ni mwanasheria na hakika kila mwenye taaluma hii na aliyekuwa akifuatilia kesi atabaki mdomo wazi juu ya hukumu iliyotolewa. Huyu jaji alichofanya ni kucheza na akili za watu, na nina uhakika alikua na hukumu mbili mkononi. Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza anajua kwamba katika 'tort' ili kosa lionekane limetendwa ni lazima aliyetuhumiwa athibitishe ameathirikaje na hizo tuhuma. Inakuwaje 3rd party ndo athibitishe hilo?. Batlida hajawahi kuja mahakamani. Kesi hii inaandika historia katika mhimili wa mahakama juu ya uhuru wake. Kuna haja ya majaji katika mahakama kuu kufanyiwa enterview kama kule kenya wanavyofanya. Hii hukumu imenikumbusha mengi katika tasnia ya sheria, daima itabaki kuwa kumbukumbu mbovu kwenye mhimili wa mahakama.

N e n o
 
siasa zinapoingia kwenye utendaji....halafu mnakaa majukwaani kulaani rushwa,mchezo wa kitoto sana ndo maana tunasema ccm na rushwa ni pande mbil za sarafu moja huwezi kutenganisha...tunahitaji ukombozi wa kweli wa tz
 
mwenyewe nilipigiwa simu na kigogo serikalini juzi akiniambia matokeo ya arusha yatabatilishwa lema sio mbunge tena.nikamwambia acha tuone kumbe kweli, jamani katiba ibadilishwe mahakama ziwe huru.
 
wenzetu wakenya huwa wana ka utaratibu kazuri sana wa kuwapata viongozi wa kuongoza taasisi nyeti zote.huku kwetu hawa mabwana ni ma president appointees,hv rais akisema make sure that kesi funali ushindi unapatikana atagoma jaji?
 
Mimi mwenyewe nimeshangazwa sana na hukumu hiyo kwani kwa elimu ya sheria ya miaka mitatu niliyonayo mpaka sasa hata siku moja huwezi kutukia ushaidi wa 3rd party kumhukumu mtu kwa makosa ya tort, ni kama vile mhindi akutemee mate ya pariki halafu rafiki yako akashitaki na kudhibitisha mahakamani kwamba mate yalikuunguza, but hii ilionekana from the beginning kwani ndiyo sababu kubwa iliyomfanya jaji aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo awali ajitoe mnamo tarehe 6 february mwaka huu kwa kusema siwezi kusikiliza na kutoa maamuzi ya kesi kama hii.
 
Tanzania kila kitu kinawezekana,Tanzania zaidi ya uijuavyo!
 
Tangu jana nilielezea kwamba nimepata taarifa kuvuja kwa hukumu ya mh Lema. Mods aliunganisha link yangu na nyingine zilizokuwa zinashabihana na hilo. Kitaaluma mimi ni mwanasheria na hakika kila mwenye taaluma hii na aliyekuwa akifuatilia kesi atabaki mdomo wazi juu ya hukumu iliyotolewa. Huyu jaji alichofanya ni kucheza na akili za watu, na nina uhakika alikua na hukumu mbili mkononi. Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza anajua kwamba katika 'tort' ili kosa lionekane limetendwa ni lazima aliyetuhumiwa athibitishe ameathirikaje na hizo tuhuma. Inakuwaje 3rd party ndo athibitishe hilo?. Batlida hajawahi kuja mahakamani. Kesi hii inaandika historia katika mhimili wa mahakama juu ya uhuru wake. Kuna haja ya majaji katika mahakama kuu kufanyiwa enterview kama kule kenya wanavyofanya. Hii hukumu imenikumbusha mengi katika tasnia ya sheria, daima itabaki kuwa kumbukumbu mbovu kwenye mhimili wa mahakama.

Mimi si mwanasheria na sijaifuatilia kwa makini hii kesi ila nimeshtuka kidogo hapo kwenye red..?Kwani kesi ilifunguliwa na nani?
 
Tangu jana nilielezea kwamba nimepata taarifa kuvuja kwa hukumu ya mh Lema. Mods aliunganisha link yangu na nyingine zilizokuwa zinashabihana na hilo. Kitaaluma mimi ni mwanasheria na hakika kila mwenye taaluma hii na aliyekuwa akifuatilia kesi atabaki mdomo wazi juu ya hukumu iliyotolewa. Huyu jaji alichofanya ni kucheza na akili za watu, na nina uhakika alikua na hukumu mbili mkononi.

Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza anajua kwamba katika 'tort' ili kosa lionekane limetendwa ni lazima aliyetuhumiwa athibitishe ameathirikaje na hizo tuhuma. Inakuwaje 3rd party ndo athibitishe hilo?

Batlida hajawahi kuja mahakamani. Kesi hii inaandika historia katika mhimili wa mahakama juu ya uhuru wake. Kuna haja ya majaji katika mahakama kuu kufanyiwa enterview kama kule kenya wanavyofanya. Hii hukumu imenikumbusha mengi katika tasnia ya sheria, daima itabaki kuwa kumbukumbu mbovu kwenye mhimili wa mahakama.
mkuu hiyo hukumu ilikuwa imetengenezwa na viongozi wa kisiasa wa CCM,hilo tunalielewa hata watu ambao hawana elimu yoyote ile
 
Tangu jana nilielezea kwamba nimepata taarifa kuvuja kwa hukumu ya mh Lema. Mods aliunganisha link yangu na nyingine zilizokuwa zinashabihana na hilo. Kitaaluma mimi ni mwanasheria na hakika kila mwenye taaluma hii na aliyekuwa akifuatilia kesi atabaki mdomo wazi juu ya hukumu iliyotolewa. Huyu jaji alichofanya ni kucheza na akili za watu, na nina uhakika alikua na hukumu mbili mkononi. Hata mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza anajua kwamba katika 'tort' ili kosa lionekane limetendwa ni lazima aliyetuhumiwa athibitishe ameathirikaje na hizo tuhuma. Inakuwaje 3rd party ndo athibitishe hilo?. Batlida hajawahi kuja mahakamani. Kesi hii inaandika historia katika mhimili wa mahakama juu ya uhuru wake. Kuna haja ya majaji katika mahakama kuu kufanyiwa enterview kama kule kenya wanavyofanya. Hii hukumu imenikumbusha mengi katika tasnia ya sheria, daima itabaki kuwa kumbukumbu mbovu kwenye mhimili wa mahakama.

My learned friend, what kind of tort are you talking about? Go and dig deeper, there are precedents which may make an adjudicator dispense with such a general rule. Furthermore, the complainants were the ones needed to prove, the insulted person was just to be a witness needed not to prove damage on herself rather than proving the words were uttered. There was no need of calling her if the evidence adduced sufficed to convict the way the complainant contemplated. For example if I utter abusive words to your father at your presence, will you fail to prove damage or injury upon yourself? As you will be the complainant, your father's role will be to prove that there were such abusive words. Scout around my fellow learned friend.
 
Mimi mwenyewe nimeshangazwa sana na hukumu hiyo kwani kwa elimu ya sheria ya miaka mitatu niliyonayo mpaka sasa hata siku moja huwezi kutukia ushaidi wa 3rd party kumhukumu mtu kwa makosa ya tort, ni kama vile mhindi akutemee mate ya pariki halafu rafiki yako akashitaki na kudhibitisha mahakamani kwamba mate yalikuunguza, but hii ilionekana from the beginning kwani ndiyo sababu kubwa iliyomfanya jaji aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo awali ajitoe mnamo tarehe 6 february mwaka huu kwa kusema siwezi kusikiliza na kutoa maamuzi ya kesi kama hii.

imenishangaza sana, hivi huyu jaji ataficha wapi uso wake. Mimi naamini kapindisha sheria makusudi. Haiwezekani mtu alishawahi kuwa wakili, ana uzoefu zaidi ya miaka kumi halafu alete hukumu kama hii.
 
44 Reactions
Reply
Back
Top Bottom