mkuu wametuchakachua...hukumu imehairishwa mpaka mei 21............kuna nini hapa kama sio mchezo mchafu.......
Kama kawaida ya bongo, kesi, imehairishwa Kama mdau hapo juu alivyosema, eti kisa hakimu kasafiri kikazi, hii ndo bongoooooooo
hebu nijuze kwann wameahirisha???
Wameenda nje ya dsm kikazi kwani kusoma hiyo hukumu haikuwa kazi yao?
Au kulikuwa na kazi zingine za maana wakaamua kuacha hizi za vijisenti?