Hukumu ya kupinga ubunge wa Mhe Opulukwa (CHADEMA) kesho 4/05/2012

Ctanda99

Member
Apr 2, 2012
17
0
Hukumu ya kupinga ubunge wa mhe,OPULUKWA (CHADEMA) jimbo la Meatu inatarajiwa kutolewa kesho katika mahakama kuu kanda ya Tabora itakayotolewa mjini Maswa,kesi hiyo ilifunguliwa na kada wa Ccm Masanja Salu aliyekuwa katibu wa mbunge aliyeng'olewa Salum Hamis Salum aka Jambo au Salum mbuzi akipinga ushindi kwa hoja 4,

1.Analalamika kuwa wakati wa kampeni mgombea wa ccm ambaye ni mwarabu alibaguliwa.

2.Analalamika kuwa wakati wa zoezi la kupiga kura wasimamizi walimpigia kampeni mgombea wa chadema

3.Analalamika kuwa wakati wa kujumlisha kura hali ya usalama uli kuwa mdogo katika ofisi za msimamiz wa wilaya.

4.Hoja ya nne anadai kuwa msimamiz wa uchaguzi bi.UPENDO SANGA alitoa matokeo mara mbili kwenye tume na kwenye gazeti la mwananchi,hivyo anaiomba mahakama hyo itengue ushindi na kumpa mgombea wa Ccm Salum H.Salum
 
Hizi kesi za Makamba zitaimaliza CCM.
 
wakati wana wa tanzania kutetea uhai na ustawi wa taifa hili na kusimamia mabadiliko ya kweli ni sasa bila woga kwani kufungua dahau nyingi zidi ya wabunge wa chadema ni ishara ya kuogopa wazalendo na wapigania haki,lakini demokrsia ya wapiga kula haishimiwi sasa basi wapiga kula wasimamie maamuzi yao bila woga nchi hii inahitaji mabadiliko ya kweli yasiyo na woga sote pamoja tunaweza tushinde hofu na woga:smile-big:
A%20S-fire1.gif
 
Kati ya Opulukwa au Mnyika kuna mmoja hanaweza kupoteza ubunge wake.
 
kila heri Mh. Opulukwa, haki ya mtu haipotei, tupo pamoja, ila ni kweli huyo jamaa ni mwarabu
 
Tayari tuko hapa mahakamani watu wanazidi kumiminika kama kawaida poliscm ni wengi juji Fredrick Wambali bado hajafika nitazidi kuwajuza
 
Majaji wa tz na ubakaji wa demokrasia ya wananchi hata sina imani nao lolote laweza kutokea ambalo hatuligemei. Tuzidi kumuomba Mungu tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom