Hukumu ya kupinga ubunge wa Aeshi Khalfan Hilal

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Aeshi Khalfan Hilal wa CCM jimbo la Sumbawanga mjini, ameshinda kesi iliyokuwa ikimkabili ya kupinga ubunge wake ikipinga kutangazwa mshindi baada ya uchaguzi mkuu uliopita 31/1012012. Uliomtangaza mshindi Mwenye taarifa kamili atuwekee.
 
Aeshi Khalfan Hilal wa CCM jimbo la Rukwa mjini, ameshinda kesi yake iliyokuwa ya ubunge iliyokuwa ikipinga kutangazwa mshindi 31/1012012. Mwenye taarifa kamili atuwekee.

Ameshindaje nawe huna taarifa!!!!!!
 
Hoyo ndo nani mbona hata hatambuliki kwa waliopiga kura ya kutokubali wizi katika nchi yetu pale bungeni??
 
Aeshi Khalfan Hilal wa CCM jimbo la Rukwa mjini, ameshinda kesi yake iliyokuwa ya ubunge iliyokuwa ikipinga kutangazwa mshindi 31/1012012. Mwenye taarifa kamili atuwekee.

Wewe ndiye mwenye taarifa, tuwekee. Unamtaka nani zaidi ilhali wewe ndiye umeanzisha uzi ?
 
Hakuna jimbo la Rukwa mjini, hujui kuandika vizuri kiswahili halafu unakuwa na kimbelembele cha kupost vitu hujui. Kama masaburi yanakuwasha si unawaPM watu wakushugulikie tu kimya kimya kuliko kujitangaza hadharni hapa kuwa we si riziki!!

Sasa hapo tushike lipi. Ameshinda, hajashinda?
 
Angalia kaja lini hapa jamzini!

Ana week moja. Unajua CCM wameambiwa katika vikao vyao wajitahidi kuwepo katika mitandao ya jamii waweze kuonekana wanapinga hoja za wapenda maendeo. Angalia wapenzi wengi wa Magamba wameingia lini jamvini.
 
Hakuna jimbo la Rukwa mjini, hujui kuandika vizuri kiswahili halafu unakuwa na kimbelembele cha kupost vitu hujui. Kama masaburi yanakuwasha si unawaPM watu wakushugulikie tu kimya kimya kuliko kujitangaza hadharni hapa kuwa we si riziki!!

Sasa hapo tushike lipi. Ameshinda, hajashinda?

Kama hujaelewa post mpaka utukane?
 
au ni Aeshi mwenyewe wewe uliyepost...maana Aeshi hakumaliza hata hiyo form 2 ....
 
Hakuna jimbo la Rukwa mjini, hujui kuandika vizuri kiswahili halafu unakuwa na kimbelembele cha kupost vitu hujui. Kama masaburi yanakuwasha si unawaPM watu wakushugulikie tu kimya kimya kuliko kujitangaza hadharni hapa kuwa we si riziki!!

Sasa hapo tushike lipi. Ameshinda, hajashinda?

Mtoa hoja amechemsha sana na hoja yake haieleweki hata kidogo!wewe umechemsa zaidi,JF si forum ya matusi,ni sehemu ya kubadilishana mawazo na kuelimishana bila kutukanana!pole mkuu inaonekana hii forum haikufai hata kidogo!
 
Form one unanikumbusha mbali sana - enzi za njugaaaaaaaa, upewe shilingi moja then ununue sigara na mkate halafu chenji irudi
 
Back
Top Bottom