Hukumu ya kesi za Uchaguzi Morogoro

shabani

JF-Expert Member
Apr 3, 2009
309
221
Kama umeangalia vizuri taarifa ya habari ya Azamtv, Kesho kuna kila dalili Chadema watapoteza Mbunge mmoja mkoa wa Morogoro.
 
Hilo lipo wazi mnoa, maana yule alieshindwa alishatamba kuwa yeye ndie mbunge na amekuwa akifanya kazi nyingi sana za kijamii, huyu mbunge anaekwenda kupoteza jimbo amekuwa akipatwa na misukosuko mingi mno hata uchaguzi wa mwenyekiti wa halmashauri aliswekwa rumande ili asishiriki na kupelekea cm kushinda uchaguzi huo. Haki kwake ni ngumu, ajipe moyo asonge mbele Mungu ni mwema.
 
Likini naomba muwe mnaweka akiba ya meneno. Hivi akishinda hiyo case mtasemaje? Mtabadili haya maneno? Kwani mahakama si ziko huru? Kila mtu ana amini kuwa mahakama zinatenda haki kabisa.. Kwa hiyo hata mkishindwa basi mahakama imetenda haki acheni kuanza kulalamika..
Kama umeangalia vizuri taarifa ya habari ya Azamtv, Kesho kuna kila dalili Chadema watapoteza Mbunge mmoja mkoa wa Morogoro.
 
Likini naomba muwe mnaweka akiba ya meneno. Hivi akishinda hiyo case mtasemaje? Mtabadili haya maneno? Kwani mahakama si ziko huru? Kila mtu ana amini kuwa mahakama zinatenda haki kabisa.. Kwa hiyo hata mkishindwa basi mahakama imetenda haki acheni kuanza kulalamika..
Mkuu wa mkoa na Polisi wote watoa matamko ya usalama kwa Mwanachadema kushinda kesi.

Hata akili ya mtoto wa Darasa la kwanza haiwezi kukubali.
 
Back
Top Bottom