Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

quote_icon.png
By QUALITY Taarifa toka Biharamulo zinasema kuwa hukumu ya Kesi dhidi ya Mh. Dr. Mbassa (Mbunge wa Biharamulo CDM) nayo itaanza kusomwa leo saa 7 mchana badala ya saa 5 kama ilivyopangwa awali. Tutawafahamisha pia kutoka huko. Sikuona haja ya kuanzisha thread nyingine!
Quality

Vp huko hukumu bado cz hv sasa ni saa 9 mchana......Pls tupe updated news kwa kinachoendelea huko Biharamulo....!!!
 
Kesi Imeahirishwa kutoka saa 7 : 00 hadi saa 9 :00 sijui kuna mpango gani ilikuwa saa 5 ikawa saa7 na sasa naambiwa ni saa 9!!!

My take: Baada ya Sumbawanga imebidi jaji abadilishe hukumu, ndo maana ameongezewa muda aweze kukamilisha
 
Nimefanikiwa kuongea kwa simu na ndugu yangu aliyepo maeneo ya kortini, amesema wameambiwa kuwa muda umesogezwa mbele hadi saa 10 jioni ndipo hukumu itaanza kusomwa. Hana details zaidi. Lets wait.
 
Vp huko hukumu bado cz hv sasa ni saa 9 mchana......Pls tupe updated news kwa kinachoendelea huko Biharamulo....!!!

Haiwezekani ikawa hakuna jf members wenye access ya mtandao nafikiri hiki kimya kina kishindo wakuu!*
 
Nimefanikiwa kuongea kwa simu na ndugu yangu aliyepo maeneo ya kortini, amesema wameambiwa kuwa muda umesogezwa mbele hadi saa 10 jioni ndipo hukumu itaanza kusomwa. Hana details zaidi. Lets wait.

dah, sasa naacha ku-refresh. ngoja nichek jukwaa la siasa kama kuna inshu inabamba.
 
Huyu jamaa asije akawa kama yule wa ijumaa, alianzisha mambo ya sumbawanga, akasema CCM wameshinda kumbe hukumu yenyewe ilikuwa bado
 
Hakuna kitu, in short ni kwamba hukumu ikisomwa leo lazima imechakachuliwa na CDM msitegemee kitu, wanajua leo mna furaha ya s'wanga so hakuna atakaefeel pinch kubwa kwa biharamulo. Watch out though its just insinuation tu!
 
Back
Top Bottom