Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Yule Judge wa Voda fasta wa ccm kule Arusha aliyetoa hukumu ya mh. Lema atakuwa amezaraulika sana na ma-judge wenzake.
Atakuwa anaonekana kama toilet pepa kama alivyo Nape.
 
Naambiwa mji mdogo wa Biharamulo, unalipuka kwa shangwe as if ndo matokeo ya kwanza ya uchaguzi wa ubunge yametangazwa. Hongera wapenda mabadiliko ya kweli.
 
Mkuu hao wamepigwa 4-1 mpaka sasa. Tuanze na Ilemela, Singida, Sumbawanga, Bihalamuro. Tutarajie tena Ubungo na Segerea. Hapo itakiwa 6-1.
Ubungo si salama kabisa. Kama kuna mahali ambapo pananipa hofu kubwa basi ni huko ubungo. Maana kuna ushahidi wa wazi kwamba kura zipo tofauti na idadi ya wapiga kura. Na bila kujali kama kosa ni la mnyika au wajumlishaji, kitakachoangaliwa ni kwamba matokeo ni batili. Kwa hiyo huko hakuna kufurukuta.
 
Mnyika kuchomoka ngumu pale, sijui itakuwaje!
 
wadau biharamulo iko mkoa mpya wa chato zamani ililikuwa mkoani kagera majira ni yakawaida sio ya africa ya kati naomba kuweka kumbukumbu sawa,asanteni mwenye updates za hukumu aendelee kutujuza

Hakuna mkoa wa Chato nchini ila kuna Chato ambayo sasa iko katika Mkoa wa Geita. Biharamulo iko Mkoa wa Kagera.
 
Ubungo si salama kabisa. Kama kuna mahali ambapo pananipa hofu kubwa basi ni huko ubungo. Maana kuna ushahidi wa wazi kwamba kura zipo tofauti na idadi ya wapiga kura. Na bila kujali kama kosa ni la mnyika au wajumlishaji, kitakachoangaliwa ni kwamba matokeo ni batili. Kwa hiyo huko hakuna kufurukuta.

Naomba kujua kama ataruhusiwa kugombea? Kadi yangu ninayo na kura nampa. Huzuni ni jinsi taifa litapoteza fedha za bure.
 
Ubungo si salama kabisa. Kama kuna mahali ambapo pananipa hofu kubwa basi ni huko ubungo. Maana kuna ushahidi wa wazi kwamba kura zipo tofauti na idadi ya wapiga kura. Na bila kujali kama kosa ni la mnyika au wajumlishaji, kitakachoangaliwa ni kwamba matokeo ni batili. Kwa hiyo huko hakuna kufurukuta.
Mkuu msingi wa kesi ya Ubungo ni kura 14,000. ambazo hata akipewa zote huyo wa CCM hawezi kumshinda John na kumbuka kuwa hizi kura ni lazima kufuata ratio maalum kwa wagombea wote

Si mtaalam wa sheria naomba kujuzwa zaidi sababu ya kumvua ubunge itakuwa ipi
 
Ubungo si salama kabisa. Kama kuna mahali ambapo pananipa hofu kubwa basi ni huko ubungo. Maana kuna ushahidi wa wazi kwamba kura zipo tofauti na idadi ya wapiga kura. Na bila kujali kama kosa ni la mnyika au wajumlishaji, kitakachoangaliwa ni kwamba matokeo ni batili. Kwa hiyo huko hakuna kufurukuta

wacha tungoje!!
 
Wadau, mmesikia jinsi CDM kilivyoyagaragaza Magamba kule Biharamulo na Sumbawanga? Yaani hii inaitwa zawadi ya sikukuu ya Mei Mosi. Mi sina la kusema zaidi ya kutoa shukrani kwa Mungu Anayejali na kuona jinsi watu wake walivyokaliwa na kuteswa kwa mabavu na Magamba, hata hatimaye ameamua kuwaokoa Watz kama ilivyokuwa kwa Wana wa Israel walipokuwa kule utumwani Misri. Hakika CDM kina Mungu, Magamba wana rushwa na Polisi. Kanyaga twende CDM, Sauti ya Umma ni Sauti ya Mungu!
 
Back
Top Bottom