Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
8,887
12,554
quote_icon.png
By QUALITY Taarifa toka Biharamulo zinasema kuwa hukumu ya Kesi dhidi ya Mh. Dr. Mbassa (Mbunge wa Biharamulo CDM) nayo itaanza kusomwa leo saa 7 mchana badala ya saa 5 kama ilivyopangwa awali. Tutawafahamisha pia kutoka huko. Sikuona haja ya kuanzisha thread nyingine!
Quality
 
Hivi unafahamu wewe Manyanza kwamba ni mtu mzima!!?? sasa ni mambo gani haya unafanya?

mkuu Matola, nimeamua kuiweka hapa wazi na si unaona by Quality, ilikuwa imejificha kwenye ile thread ya Hukumu ya Sumbawanga, thats so nimeamua kuiweka open hapa,kama itakua haijakidhi viwango Moderators wataiondoa
 
Muda mfupi ujao Mhakama kuu kanda ya Bukoba itasoma hukumu ya kupinga ushindi wa Mbunge wa Chadema jimbo la Biharamulo Dk Anthony Mbasa,iliyofunguliwa na Oscar Rwegasira Mukasa aliyekuwa mgombea wa CCM....
 
Oscar mukasa alionewa sana jamaa yule.

Wangemchagua oscar wangepata maendeleo sana jamaa ni mtafiti mzuri na anatisha katika fani yake.

siasa chafu ndio zilizomuangusha jamaa, watu waliikata hadi migomba yake kwa chuki ila i hope atashinda tu kesi.
 
Sasa ubunge na utafiti wapi na wapi?? kama ni mtafiti si aendelee kufanya utafiti ili matokea ya research zake yatumike kusaidia wananchi! au bila ubunge mtu huwezi kufanya utafiti? Kazi ya utafiti inahitaji muda na umakini sana hivo kwa kumnyima ubunge walimsaidia sana aweze kujiimarisha kwenye taaluma yake!!

Wewe ni gamba humu Jf halafu post zako hazina kichwa wala miguu mfano unasema alionewa?? alionewaje??kama anatisha kwenye fani yake aendelee kutisha anakimbilia ubunge wa nini?? Hebu tupia paper yake hata moja aliyowahi kupublish ili kuthibitisha usemi wako!!
 
Oscar mukasa alionewa sana jamaa yule.

Wangemchagua oscar wangepata maendeleo sana jamaa ni mtafiti mzuri na anatisha katika fani yake.

siasa chafu ndio zilizomuangusha jamaa, watu waliikata hadi migomba yake kwa chuki ila i hope atashinda tu kesi.

kwenda zako huko
 
Jina zuri, Avatar bomba.......lakini unachokitetea sas!!

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom