Hukumu ya kesi ya Tundu Lissu tarehe 27.04.2012

Albano

Member
Jul 21, 2009
41
10
Hatma ya Tundu Lisu kuendelea au kutoendelea kuwa Mbunge wa Singida Mashariki ipo mikononi mwa Jaji Moses Mzuna. Baada ya kusikiliza pande zote za mtoa mashtaka na ule upande wa ushahidi, Jaji ametangaza siku ya hukumu itakuwa tarehe 27.04.2012.

Nawasilisha kutoka hapa Singida.
 
Hatma ya Tundu Lisu kuendelea au kutoendelea kuwa Mbunge wa Singida Mashariki ipo mikononi mwa Jaji Moses Mzuna. Baada ya kusikiliza pande zote za mtoa mashtaka na ule upande wa ushahidi, Jaji ametangaza siku ya hukumu itakuwa tarehe 27.04.2012. Nawasilisha kutoka hapa Singida.

Wakikosea wakafanya madudu kama ya Lema nasema watazidi kuipaisha CDM juu. Bora haki uchukue mkondo wake tu.
 
Shukran sana Isango kwa mchango wako kutoka Singida Mashariki, Mungu awe pamoja nasi hawa magamba wasituchakachue kama kwa lema.
 
Asije naye akawa kama yule Mhaya wa A Town! I hate Wahaya kwa character zao. Usikute hakutumwa na Magamba ila kupenda sifa kwao ndio mara nyingi wanaona bora kuliko maslahi ya taifa!
Pamoja na hayo, Magamba wana hamu sana na umwagaji wa damu kupitia ubakaji wa demokrasia. Ila Nguvu ya Umma itazidi ufirauni wao.
Ama kweli Akili ya Magamba ni sawa na ya Makamba.
 
Tundu Lissu huwa anawakosesha sana usingizi majaji anaposoma hotuba zake bungeni na kuwasagia majaji ile mbaya tokana na mchakato wa teuzi zao...

Kwa jinsi kesi ilivyo, akishindwa basi magamba watakuwa wanazidi kudhihirisha kile ambacho hua anakisema siku zote na hata akishinda haitafuta kauli yake hiyo.
 
KWA MKONO SHUPAVU, SAMSON ALIWAUA WATU ELFU KWA TAYA LA PUNDA!!!! Lissu pia anacho kibali machoni pa MUNGU. ccm tunawakimbiza kwa zauti za matarumbeta, come what may, we've no option. . . . . burry ccm dead or alive. msiwe na huruma katika hilo "Asema Bwana"
 
Hatma ya Tundu Lisu kuendelea au kutoendelea kuwa Mbunge wa Singida Mashariki ipo mikononi mwa Jaji Moses Mzuna. Baada ya kusikiliza pande zote za mtoa mashtaka na ule upande wa ushahidi, Jaji ametangaza siku ya hukumu itakuwa tarehe 27.04.2012. Nawasilisha kutoka hapa Singida.

Akitoa hukumu kwa Maelekezo kutoka nje ya mahakama hatakuwa bungeni.
Akitoa hukumu kwa kufuata haki na usawa Tundu Lissu ni Mbunge
 
Hapa lazima kuna jambo lisilo la kawaida linaendelea iweje huku iwe mapema kiasi hiki tofauti na kesi ya mahanga?
 
Kesi hiyo siyo nzuri sana kwa Tundu Lisu hasa kutokana na Mashahidi wake kujichanganya sana. Hali hiyo ikapelekea yeye kukatiza ushahidi ndiyo maana hukumu itatolewa mapema.
 
Hapa lazima kuna jambo lisilo la kawaida linaendelea iweje huku iwe mapema kiasi hiki tofauti na kesi ya mahanga?
Mkuu, kesi zote zinatakiwa kusha ndani ya mwaka mmoja tangu kesi kufunguliwa kama sikosei hivyo kesi nyingi zinatalajiwa kuisha ndani ya mwezi ujao mwanzoni baada ya kuongezewa muda....
 
Kesi hiyo siyo nzuri sana kwa Tundu Lisu hasa kutokana na Mashahidi wake kujichanganya sana. Hali hiyo ikapelekea yeye kukatiza ushahidi ndiyo maana hukumu itatolewa mapema.

Aliyekutuma mwambie jamaa wameshtukia dili!
Ni upumbavu kusema mashahidi wa Tundu Lissu walijichanganya, wakati kesi tuliifuatilia mwanzo mpaka mwisho.
Wapi*Isango*leo?
 
Kesi hiyo siyo nzuri sana kwa Tundu Lisu hasa kutokana na Mashahidi wake kujichanganya sana. Hali hiyo ikapelekea yeye kukatiza ushahidi ndiyo maana hukumu itatolewa mapema.
Wewe acha kutudanganya pimbi wewe unadhani tulikuwa hatufatilii kila mara kesi ya Lissu ilikuwa ikiripotiwa hapa JF waliojichanganya mpaka kukimbiana ni mashahidi wa CCM mpaka wakafikia kukodisha mashahidi kutoka Dar na mikoa mingine....
 
Aliyekutuma mwambie jamaa wameshtukia dili!
Ni upumbavu kusema mashahidi wa Tundu Lissu walijichanganya, wakati kesi tuliifuatilia mwanzo mpaka mwisho.
Wapi*Isango*leo?
Nimeshangaa jamaa wanataka kuanza kuchakachua JF ili tuanze kuandaliwa kuwa CDM wana poteza jimbo lingine lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa CCM kwasasa hawana chao....
 
Wewe acha kutudanganya pimbi wewe unadhani tulikuwa hatufatilii kila mara kesi ya Lissu ilikuwa ikiripotiwa hapa JF waliojichanganya mpaka kukimbiana ni mashahidi wa CCM mpaka wakafikia kukodisha mashahidi kutoka Dar na mikoa mingine....

Kama siyo Buchanan kuwa humu ningempa kubwa. jamaa anachungulia asije kunipiga ban.
*Ametumwa humu kuja kupima upepo shenzi yake huyu Albano
 
Back
Top Bottom