Hukumu ya KESI inayomkabili John Mnyika (jimbo la Ubungo, submission leo)

Kwa hii kesi ilivyokaa inawezekana kabisa Mnyika ikawa ndio mwisho wa ubunge wake
Lakini tuombe Mungu, TUWE NA IMANI PIA TUTASHINDA
 
Tiyari tumekwisha kufika mahakani watu ni wengi mno wa vyama vyote viwili yani ccm na chadema. Ulinzi upo kila kona ya mahakama jaji bado hajawasili. Endelea kuwa nimi kila kitu ukipate.

Updates toka chumba cha mahakama hukumu imeahirishwa nafatilia tatizo nini. Stay tunned

Jaji hajafika ni nani ameahirisha hukumu?
 
isije ikawa kama mambo ya kesi ya mahanga na mpendazoe,mara oooh polisi wamebana,sijui magamba wamefanya nini,jipangeni mapema,tafuteni maeneo ambayo mnaweza hata kutuma skitu.!
 
hukumu ya kesi ya mnyika imeahirishwa kwa sababu maalum, hii kesi inaonekana magamba wanataka kucheza rafu maana wiki iliyopita kesi iliahirishwa tena sababu jaji alikuwa amefiwa leo tena imeahirishwa kwa sababu maalumu, wakuu hapa kuna harufu ya kuchakachua
 
Tiyari tumekwisha kufika mahakani watu ni wengi mno wa vyama vyote viwili yani ccm na chadema. Ulinzi upo kila kona ya mahakama jaji bado hajawasili. Endelea kuwa nimi kila kitu ukipate.

Updates toka chumba cha mahakama hukumu imeahirishwa nafatilia tatizo nini. Stay tunned

Wanataka kuchakachua hao hukumu
 
kwa hii kesi ilivyokaa inawezekana kabisa mnyika ikawa ndio mwisho wa ubunge wake
lakini tuombe mungu, tuwe na imani pia tutashinda
hata barcelona walijua wameshawafunga chelsea lakini mungu akawa upande wao,subiri jaji asome hiyo hukumu,ingawa hatuwezi kubadilisha alichokiandika!
 
hukumu haiwezi kuwa leo majumuisho yamepelekwa jana hiyo hukumu imeandikwa saa ngapi?
 
Tiyari tumekwisha kufika mahakani watu ni wengi mno wa vyama vyote viwili yani ccm na chadema. Ulinzi upo kila kona ya mahakama jaji bado hajawasili. Endelea kuwa nimi kila kitu ukipate.

Updates toka chumba cha mahakama hukumu imeahirishwa nafatilia tatizo nini. Stay tunned

jamani mnaoanfika muwemnaandika baada ya kujua kinachoendelea, siku ya leo ilikuwa siyo siku ya hukumu bali ilikuwa siku ya majumuisho, then ndiyo jaji angepanga siku ya hukumu.
 
Hashindwi m2 pale,john mnyika mbunge halali,magamba poleni sn.UPENDO MSUYA tenda haki usiwe mtumwa ktk maamuzi.Muogope Mungu.
 
[h=6]John Mnyika
[/h][h=6]Nasikia adhana, Hayya alas-swalaah; naendelea na mkesha kama wa Loyola kupitia kurasa 111 za mwenendo wa kesi (court proceedings), mpaka sasa nimeandika kurasa 21 za mchango wangu kuhusu majumisho (final submission) kutoka katika rundo la rejea za hukumu mbalimbali zenye misingi muhimu ya kisheria (fundamental legal principles). Nikimaliza kesho namwachia wakili wetu aendelee kwa upande wake, tutakutana mahakamani kesho kutwa tarehe 4 Mei 2012. Tulitafuta kura pamoja, tukapiga kura pamoja, tukazilinda kura pamoja;, kwa pamoja tutaendelea kushinda. AMUA: Maslahi ya Umma Kwanza[/h]Share · Yesterday at 4:18am ·
 
John Mnyika

Nasikia adhana, Hayya alas-swalaah; naendelea na mkesha kama wa Loyola kupitia kurasa 111 za mwenendo wa kesi (court proceedings), mpaka sasa nimeandika kurasa 21 za mchango wangu kuhusu majumisho (final submission) kutoka katika rundo la rejea za hukumu mbalimbali zenye misingi muhimu ya kisheria (fundamental legal principles). Nikimaliza kesho namwachia wakili wetu aendelee kwa upande wake, tutakutana mahakamani kesho kutwa tarehe 4 Mei 2012. Tulitafuta kura pamoja, tukapiga kura pamoja, tukazilinda kura pamoja;, kwa pamoja tutaendelea kushinda. AMUA: Maslahi ya Umma Kwanza

Share · Yesterday at 4:18am ·

Uchaguzi Mkuu mkashindwa pamoja. Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
hukumu ya kesi ya mnyika imeahirishwa kwa sababu maalum, hii kesi inaonekana magamba wanataka kucheza rafu maana wiki iliyopita kesi iliahirishwa tena sababu jaji alikuwa amefiwa leo tena imeahirishwa kwa sababu maalumu, wakuu hapa kuna harufu ya kuchakachua

mi nazani wamehairisha ili baba mwanaasha amalizie siku hizi mbili kukamilisha madudu yake aliyo anza kuyafanya kwa kuwachagua wabunge wa viti maalumu na kisha kumalizia ***** wa mawaziri na mwisho kabisa ndiyo hukumu ya MNYIKA itolewe.

Hukumu ya MNYIKA mi nazani itatolewa baada ya uteuzi wa mawaziri wapya.
 
Back
Top Bottom