Hukumu ya jimbo la segerea kesho

Status
Not open for further replies.

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
Kesho ndiyo ile kesi ya makongoro na mpendazoe mm binafs nina uwakika wa chadema kushinda kudhihirisha hilo nitabeba bendera na vuvuzela la chadema na kutinga nalo mahakamani kesho asubuhi mida ya saa nne wewe je?
 
CCM forever, kesho tutatunza jimbo na pia tunahakikisha kuwa Ubungo tunaimiliki.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Wao wana Polisi sisi tuna Nguvu ya Umma. Nina hakika Mungu ataendelea kuwa Upande wetu
 
Wao wana Polisi sisi tuna Nguvu ya Umma. Nina hakika Mungu ataendelea kuwa Upande wetu

Mungu gani huyo, Mungu hawi upande wa vilaza kama Chadema.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Mahanga(10).jpg Mpendazoe(23).jpg Mtu Mbili Kesho kavu kavu......ukisika hayaaaaaaaaaaaaa ujue ameumia mtu!
 
Kesho ndiyo ile kesi ya makongoro na mpendazoe mm binafs nina uwakika wa chadema kushinda kudhihirisha hilo nitabeba bendera na vuvuzela la chadema na kutinga nalo mahakamani kesho asubuhi mida ya saa nne wewe je?

naona majaji ndo wanawasili sasa. wa2 ni wengi ila waswahili wa kwamnyamani wamesusa.
 
Kama Cheka na Mada Maugo,tek K.O itammaliza mtu kesho,another blow for magamba,mpaka 2015,watabaki nusu!
 
Nahisi rushuffle ya cabinet inasubiri hukumu ya huyu bwana ili isijeonekana kama Ikulu ilijuwa matokeo kabla (again!)
 
leo kwenye sherehe za meimosi huyo muhishimiwa makongoro ambaye uheshimiwa huenda ukaisha kesho alikuwa amepooza utadhani kalowekwa kwenye barafu na kuachwa humu kwa mass mengi...
 
kinachonishangaza ni pale media zetu kushindwa kutawala hisia zao na kutangaza ukweli wa mambo kesho lazima mtu avuliwe ubunge ila hakuna chombo cha magamba kitakachotangaza habari hiyo kama habari ya sumbawanga.kila chenye mwanzo?.............................hakikosi kuwa na mwisho..tusubirie masaa yatimie nyundo itoe maamuzi
 
Tunachohitaji ni haki itendeke na si mahakama ifanye kazi kwa utashi wa watu au kikundi fulani.
 
Tupo mbali pls kama kawa ya wana JF ambaye atakuwa karibu tena mmoja kama kawa awe anatujuza, sisi tulie mbali tutakaa online tangu mapema kesho okey jamani?
 
Griiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Je utajisikiaje iwapo kesho vichwa vya habari vikisema Mahanga kashindwa kesi??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom