Juaangavu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2009
- 935
- 132
<br />Vyombo vya habari Tanzania vinatia kichefuchefu habari inaandikwa kimafumbo mafumbo utadhani tuko kwenye taarabu. Yani ili gazeti limeshindwa kuwasiliana na ICC na kuomba kopi ya hiyo hukumu?
<br />
Yaani, unatamani uwatupie jiwe liwaponde vichwani huenda wakachangamka. Sijui vyombo vyenyewe vinamilikiwa na wale wale au vipi! Hivi wakipiga hodi ICC kwa ajili ya interest ya umma wa watanzania, wao kama waandishi wa habari makini, hawawezi kupewa copy ya huo mzigo, kisha wakatumwagia hapa hadharani. Du! Hapa ndipo unapotamani mzee wa Wikileaks, angekuwa na interest na hili, lingekuwa limekwisha miminwa kwenye mtandao.